Njoo uniuzie simu yako unayotumia wewe.

Njoo uniuzie simu yako unayotumia wewe.

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Habari zenu wana jukwaa, natafuta simu used iliyo salama, kwa anaeuza iwe hiyo unayotumia au nyingine tafadhari...

Tuma picha(au sema ni aina gano)muda uliyotumia, weka na bei yako na mawasiliano aua hata usipoweka mawasiliano nitakufuata chapchap PM.. Nipo hapa jukwaa online nikuwasubiri nyie. Sitoki
Iwe smartphone.
Nipo Dar
NB: kuna mtu ameniomba nimtafutie used nzuri so wana jf nimebisha hodi kwenu
Bei iwe nzuri ya kawaida
 
Kwa nn usiendelee kutumia hyo uliotumia kuleta Uzi.

Sema unataka kujua wenye simu kama yako wapo wangapi..mambo ya kizaman sana hya!
 
Habari zenu wana jukwaa, natafuta simu used iliyo salama, kwa anaeuza iwe hiyo unayotumia au nyingine tafadhari...

Tuma picha(au sema ni aina gano)muda uliyotumia, weka na bei yako na mawasiliano aua hata usipoweka mawasiliano nitakufuata chapchap PM.. Nipo hapa jukwaa online nikuwasubiri nyie. Sitoki
Iwe smartphone.
Nipo Dar
NB: kuna mtu ameniomba nimtafutie used nzuri so wana jf nimebisha hodi kwenu
Bei iwe nzuri ya kawaida
Ipo hapa j7 samsung
Gb 16
Price 260000
Good condition like new
 
Samsung J1 4g miaka miwili imetumika,Haijawahi kunisumbua.
Kioo safi kizima hakina mikwaruzo.
Shida ndogo ni maiki ya nje tu,inakoroma kias

  • (matengenezo 7000)
Nipe 120,000k
Nipo Dar.
 
Habari zenu wana jukwaa, natafuta simu used iliyo salama, kwa anaeuza iwe hiyo unayotumia au nyingine tafadhari...

Tuma picha(au sema ni aina gano)muda uliyotumia, weka na bei yako na mawasiliano aua hata usipoweka mawasiliano nitakufuata chapchap PM.. Nipo hapa jukwaa online nikuwasubiri nyie. Sitoki
Iwe smartphone.
Nipo Dar
NB: kuna mtu ameniomba nimtafutie used nzuri so wana jf nimebisha hodi kwenu
Bei iwe nzuri ya kawaida
SANSUNG A5 270,000/= 0764 876 888 DSM iko slim kali na ina picha kali sana 4G NETWORK,GB 16 PHONE 2GB RAM 16 CARD
 
Nenda kariakoo mtaa wa aggrey utazpata hata za buku5
 
Habari zenu wana jukwaa, natafuta simu used iliyo salama, kwa anaeuza iwe hiyo unayotumia au nyingine tafadhari...

Tuma picha(au sema ni aina gano)muda uliyotumia, weka na bei yako na mawasiliano aua hata usipoweka mawasiliano nitakufuata chapchap PM.. Nipo hapa jukwaa online nikuwasubiri nyie. Sitoki
Iwe smartphone.
Nipo Dar
NB: kuna mtu ameniomba nimtafutie used nzuri so wana jf nimebisha hodi kwenu
Bei iwe nzuri ya kawaida
Samsung Galaxy Tab A ya 2016.
RAM 8GB
INTERNAL STORAGE 16GB
PRICE TSHS 180,000= Niko dar
1531115202785.jpg
1531115165699.jpg
20180704_150520.jpg
20180704_150452.jpg
 
NITAFUTE 0742989953
UKITAKA PICHA NITEXT WHATSAPP

KUNA SAMSUNG J5
TECNO PHANTOM 5
TECNOCAMMON CX
TECNO W3
 
  • Thanks
Reactions: Fdt
Nina tecno s1nimetumia chini ya mwezi, nauza 85,000/-, piga:0713-039875
 
Nina tecno spark 2
Ndo zimetoka toleo jipya kabisa la tecno
Nimetumia wiki 1 nakupa full box
 
Back
Top Bottom