Njoo uchague yako








Nalendwa ,Heaven Sent ,Neybright ,demi ,espy !hii kitu ni noma
 


Mascara hii inajaza kope na kurefusha, yanini tena kubandika kope.. Na imetengenezea wa kutumia malighafi asilia. Hamna kuathirika kwa jicho hapa.



Mwanamke jicho bhana, paka wanja wako uongeze urembo na mvuto. Hapo kuna wanja wa kuchonga na waku zungusha tu.. Hukaa muda mrefu mpaka uoshe mwenyewe kwa hiari yako.



Umewahi kutana na mascara hata uongelee haitoki (defies humidity, rain and water) karibu.
Yaani refusha kope kwa utakavyo na kujaza kwa chaguo lako.



5 in 1 ni wewe tu na urembo wako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…