Njoo ubebe KODTEC subwoofer kwa bei nyasi

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,711
2,382
Offer ya jumapili hii.
Kama upo mbeya na wilaya jirani.
Used Hi-fi Kodtec subwoofer yenye speaker 2 (range).
Kwa 90 tu + free delivery mbeya mjini.
Njoo uione ipo KABWE
C360_2019-08-11-14-38-57-361.jpeg
 
Watu wa mikoani mnachapana si mchezo.

Anyway hii ni nyenzo muhimu kwa mtoto wa kiume. Haswa anapokuja mgeni na anatarajiwa kupiga kelele.
 
Hakuna kuchapa hapo mkuu..
Bei halali kabisa...dukani laki na 50
 
Back
Top Bottom