Wakati naangalia picha moja baada ya nyingine nilikuwa naingiwa na hofu kwamba isijekuwa jamaa akatoka hana kichwa kweli inatakiwa usiwe muoga kwenye hii hatua ya kuwinda huyu Mdudu.

Wakati naendelea kuangalia nimehisi huyo nyoka yuko chini ya meza yangu nikavuta miguu si waya wa printer ukanigusaaaa weee nimeruka na kuangusha makabrasha mezani! mmmmh nyoka/chatu ni balaa

Halafu kwa ukamataji wao ni mwiko kumkamata akiwa amelala,na kama mkamataji akimkuta amelala lazima amuamshe kwanza na kumsubiri anapomshambulia ndio anamdaka shingo yake kisha anatingisha miguu, na ndio walio nje wanamvuta wakiwa na uhakika kuwa wamepata kitoweo....