Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,403
- 12,020
Sote tutakwenda bali mimi nitanguliaSiku mapigo yangu ya moyo mwisho yatapogota
mwili utazima mfano wa nyota inapodondoka
staweza kuamka tena macho yangu yatapofumba
safari imewadia naenda kwa baba muumba
masela nawaachia wosia
waambie ndugu na jamaa wapunguze kulia
sote tutakwenda bali me natangulia
Nimeamini unataka uwe na mimi...Siku mapigo yangu ya moyo mwisho yatapogota
mwili utazima mfano wa nyota inapodondoka
staweza kuamka tena macho yangu yatapofumba
safari imewadia naenda kwa baba muumba
masela nawaachia wosia
waambie ndugu na jamaa wapunguze kulia
sote tutakwenda bali me natangulia
Hamtoniona tena mileleSote tutakwenda bali mimi nitangulia
Duniani sio makazi yangu tena
Niombieni kwa Mola nilazwe peponi pema
"Not everything is for everybody"
Yoowe la uchungu litasikaHamtoniona tena milele
nawaachieni majonzi tele
buriani me nawaaga nakata kauli
roho yangu inapotolewa na Israel
Daah nmesahau 😛
Mkuu watoto wajuzi hawajui hizi ngoma.Nimeamini unataka uwe na mimi...
Ila watu wenye majungu wanaleta fitina uachane na mimi yei yei ieyi....
Kwanza naenda kwa Pusha nachukua mapuli Ganga
baada ya kuvuta ,nakula vizuri nyama
kilo ya kuku ,Mbuzi au hata ng'ombe sana
nikishashiba naamia kwenye pombe
mitungi na kreti, sigara na pakti
kamwe haunikuti nmelala kwenye party
hua siingii kati ,naegemea ukuta
nakamata viuno vilivyolegea mfupa
Huyu akichomoa ,namchomekea yule
We wanakuchuna , mi wananigea bure
Mchunge mke , nna sumu kama nge