Fausta Michael
Member
- Aug 20, 2016
- 25
- 9
dokeza kidogo mkuu!Habarini nahitaji watu serious na wako tayar kutake risk na kufanya kazi kwa kujituma nakujitoa kwa miezi minne alafu utabaki kuwa na maamuz kuendelea kufanya kazi au kupumzika nakufaidi faida utakayokuwa unaipata. Nasisitiza tena nahitaji watu serious na wenye utayari.... Wewe ni mmoja wao piga 0715476787
hahahah eti nini?⌚ out
Habarini nahitaji watu serious na wako tayar kutake risk na kufanya kazi kwa kujituma nakujitoa kwa miezi minne alafu utabaki kuwa na maamuz kuendelea kufanya kazi au kupumzika nakufaidi faida utakayokuwa unaipata. Nasisitiza tena nahitaji watu serious na wenye utayari.... Wewe ni mmoja wao piga 0715476787
Umeongea ukweli kabisa..... Tupe location wap kazi itafanyikakazi gani
inahitaji elimu gani?
muda wa kazi?
inahitaji mtaji?
umri na jinsia ?
vinginevyo hatupigi simu yaani nitumie vocha kupiga kitu ambacho hakieleweki?
kuna matapeli sana jf kila memba awe makini na watu hawa 😎😎😎
unaleta tangazo la kazi isiyo na kichwa wala miguu zaidi ya amba ya simu weraa hutupati
chaa unaweza kukuta ni yale mambo ya kuchangishwa 50000 kila mtu nawewe ukachangishe wenzakoUmeongea ukweli kabisa..... Tupe location wap kazi itafanyika
[emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji13] [emoji85] [emoji102]Anaenda k.uwatomba mmoja mmoja!
Bora nimpigie mamangu kijijini arawa.... Yaani mtu anakuita mkajiajiri haswaaaKwana hakuna ata mmoja aliye jitosa kupiga sim atupend feedback..