Njoo tuikumbuke Olympic Lyon iliyosumbua Ligue 1

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,911
6,001
Kuna kipindi walichukua taji la ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kwa misimu saba mfululizo huku kwenye Uefa Champions League wakiwatoa Galacticos wa Real Madrid kwa misimu miwili mfululizo. Unawakumbuka mastaa hawa?
lyon-team-line-up-prior-to-the-uefa-champions-league-first-knockout-picture-id52598151

cc
Guasa Amboni
makaveli10
 
Kimsingi soka la ufaransa lina kipindi chake liliweza kuwaamsha watu kwani dhana ya kuwa ni soka laini ilikuwepo na bado kwa baadhi ya watu huliona hivyo. Naikumbuka monaco ya kina evra nayo iliwatoa udenda Madrid winga jerome rothern na full back evra walimpiga mande (nde )roberto Carlos mpaka akashika kiuno na wakiendelea mbali mpaka kufika final na kufungwa 3 na Porto ya Ureno.
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu huyo jerome nothern namkumbuka sana hususani kwenye mechi ya nusu fainal monaco akicheza na derpotivo La curuna
 
Back
Top Bottom