Njoo Tufungue Tuition Centre ya Nguvu

Njoo Tufungue Tuition Centre ya Nguvu

Laizer Miradi

Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
24
Reaction score
8
Nipo Makambako ni mwalimu wa Sanaa. Tumeshasota mtaani vya kutosha. Niliamua kufanya utafiti kuhusu Huduma ya tuition kwa wanafunzi wa QT, PC na computer application.

Site IPO nzuri kabisa. Na ushindani wa soko ni mdogo. Changamoto tutakazozitoa kwa wengine itakuwa dira yetu ya kupanuka na kufanikiwa.

Nimeweka hapa kwa wewe mdau wa elimu ili tuweze kushirikiana kwa wewe uliye serious, ili tupeane idea juu ya mambo kadhaa, hasa kuhusu
1. Pango (kodi ya vyumba)
2. Samani (Feniture)

Karibu sana tupeane mawazo zaidi ili mwaka 2018 uwe ni mwaka wa Mafanikio kwa kile tulichonacho

Welcome
 
feniture
 
mkuu kua mwalimu ni dharau
Mkuu acha namba yako uungwe na group la kubet basketball na sio football, usipotoka mwaka huu kwa kubeti basketball njoo unitukane hapa hapa na upige kampeni za kunitoa jamii forum..

Ni ushauri tu
 
Mimi ndo mwalimu wa kubet michezo mingine mbali na football

naweza kubet

1. BASKETBALL

2.VOLLEYBALL

3.FUTSAL

4 BASEBALL

5 HANDBALL

6. BANDY

7. WATERPOLO

amini usiamin group lako linanihitaj nije kutoa elimu kuliko mnavonihitaj n kuna group yumo trump daxido na Barmiele ndo group lenye mafund wa basketball
 
Nipo Makambako ni mwalimu wa Sanaa. Tumeshasota mtaani vya kutosha. Niliamua kufanya utafiti kuhusu Huduma ya tuition kwa wanafunzi wa QT, PC na computer application.

Site IPO nzuri kabisa. Na ushindani wa soko ni mdogo. Changamoto tutakazozitoa kwa wengine itakuwa dira yetu ya kupanuka na kufanikiwa.

Nimeweka hapa kwa wewe mdau wa elimu ili tuweze kushirikiana kwa wewe uliye serious, ili tupeane idea juu ya mambo kadhaa, hasa kuhusu
1. Pango (kodi ya vyumba)
2. Samani (Feniture)

Karibu sana tupeane mawazo zaidi ili mwaka 2018 uwe ni mwaka wa Mafanikio kwa kile tulichonacho

Welcome
Feniture - Furniture
 
Mkuu acha namba yako uungwe na group la kubet basketball na sio football, usipotoka mwaka huu kwa kubeti basketball njoo unitukane hapa hapa na upige kampeni za kunitoa jamii forum..

Ni ushauri tu
Hebu niunge hilo group la kubeti basketball 0625686556
 
Back
Top Bottom