Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,505
- 34,253
Wewe utakuua ni mgeni na mimi ohoooπ πI'd yako nyingine ni ipi π
Mimi ni mgeni ndiyo huoni nina kamba mguuni bro πWewe utakuua ni mgeni na mimi ohoooπ π
Haya mambo ya kufananisha id ndio yalifanya kamanda akufananishe na feliπ
Pole mkuu vipi lakini usalama upo?Kkkkmmmmk
Dah unadharau sana bro πππDaaah nilijiuliza mengi sana π€£
Mtoto wa Tajiri mbona yupo vile au Baba ana miliki mali za masharti ?
Hayo mabasi bado yapo sana
Haivuti kheri tena ?Subira ya vuta bangi
Fr bro we are focusing on finding life but we forget to enjoy what we have been pursuing for a long time.Thanks bro. Ndio hivyo, kuna baadhi ya majukumu yanakupa muda mwingi wa kupumzika na kufanya mambo yako binafsi, yaani ni ratiba yako tu jinsi unavyoipanga na kuitune. You can make every day is a week endβΊοΈ
Hakika π€Alafu nikwambie kitu mkuu? Unaweza ukawa katika mazingira rahisi kabisa ya kupata "NGONO" bila usumbufu au garama kubwa, ila ukiweza kuyashinda hayo mazingira kwakuamua usitekeleze kile mazingira yanavyokutuma utakuwa umepata FAIDA kubwa mno kiafya, kiakili na hata utimamu wa kimamlaka juu ya mwili wako.
Hataaa π π πDah unadharau sana bro πππ
Pole kwa mkasa lakini π πHataaa π π π
Sina dharau, ni mtazamo wako na ufikisho wako tu
Location ya kiduka ?Kiduka cha Manka,story nyingi kama vile sie ndio mawakili ,mzaramo anaisha tu
Country mwenyewe kabisa one and onlyπMimi ni mgeni ndiyo huoni nina kamba mguuni bro π
Kwani wewe ni Country mwenyewe au wa kuchovya kwenye chumvi
Ndio maana Nimekwambia ujana ni utapeli bado miaka miwili kidogo nifike 4th floor πππPole kwa mkasa lakini π π
Imebaki story
Braza upo ? πCountry mwenyewe kabisa one and onlyπ
Uchawi huu kweupeCountry mwenyewe kabisa one and onlyπ
Mi nilijua upo ngazi ya 4 tayari kumbe yankii tuNdio maana Nimekwambia ujana ni utapeli bado miaka miwili kidogo nifike 4th floor πππ
wilayaniLocation ya kiduka ?
Wapi huko mi nipo tandahimba huku chochiiwilayani
MvomeroWapi huko mi nipo tandahimba huku chochii