ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,652
- 43,750
- Thread starter
-
- #41
Nimecheka kwa sauti kubwaaa Wallah 🤣🤣🤣 since morning sijacheka hivi dahMiaka flani kipindi kijana niliuziwa mbuzi kwenye gunia.
Kuna dada mmoja aliwahi kusea namba akanitafta, badae tujaendelea mawasiliano.
Alikua na sauti nzuri sana nikaamini na physical view is directly proportion na sauti ake.
Astarghfiralah !! siku nlio muona nliishiwa pawa alikua kama hyo ID picture ya brother secretarybird .
Bro ujue nakuheshimu sana 🤣🤣Mwaka 2011 hii iliwahi kunitokea 🤣🤣🤣
Namba ngeni ikaingia , sauti tamu ya Diva , alikuwa binti wa moja ya matajiri wa mabasi ya abiria, nikavutika na sauti. Mpaka nilisafiri tuje kuonana. Stendi ya mabasi ilikuwa Ubungo bado
Siku ya kuonana na mmiliki wa sauti tamu aisee yaani nashindwa hata kumuelezea 😅 kwanza ni mweusi this halafu ana pimples kibao usoni hata cleanser sijui alikuwa haijui ? Mfupi na ana kitambi sijui alikuwa anakula kula hovyo, halafu alikuwa amepaka wave nywele na rangi ya midomo alikuwa amepaka ya kijivu na gauni alikuwa amevaa la dukani (special)
Nilipoteza mzuka kabisa na zile tamaa zote zika cease ghafla. Maana before ilianza na mitongozo na ahadi kedekede. Nikajiuliza huyu baba yake ndio yule tajiri au huyu ni Beki tatu tu ? Lakini mbona sura na Mshua ni copy kabisa ?
Hapana hapana, dada yangu anasauti nzito kama yule Umilkheir Hamidou rafiki yake Moisemusajiografii.Nimecheka kwa sauti kubwaaa Wallah 🤣🤣🤣 since morning sijacheka hivi dah
secretarybird huyo mwanamke ni dada ako ?
🤣🤣Miaka flani kipindi kijana niliuziwa mbuzi kwenye gunia.
Kuna dada mmoja aliwahi kusea namba akanitafta, badae tujaendelea mawasiliano.
Alikua na sauti nzuri sana nikaamini na physical view is directly proportion na sauti ake.
Astarghfiralah !! siku nlio muona nliishiwa pawa alikua kama hyo ID picture ya brother secretarybird .
Utakufa vibaya wewe 🤣Dah! Kumbe week ndiye uliyefungua Uzi. Mimi nikadhani Uzi ni wa kidume kumbe ni week 🙌
Pole sana funga macho tuombeYaani Nina upwiru na nimechoka kishezi hizi kazi bhn dah anyway wanangu mnapopata nafasi ya kuweka wekaneni kisawa sawa maisha hayana huruma kabisa.
Safii enjoy 🔥🔥🔥I have never been disappointed on week end waiting ✋️. Hapa yenyewe nishaianza, kesho hakuna kazi kwangu☺️
Macho yangu hayaoni bhana, nimeshakuwa msee!Utakufa vibaya wewe 🤣
I envy you manI have never been disappointed on week end waiting ✋️. Hapa yenyewe nishaianza, kesho hakuna kazi kwangu☺️
La hasha ni yeye 🤣Hapana hapana, dada yangu anasauti nzito kama yule Umilkheir Hamidou rafiki yake Moisemusajiografii.
Ujana ni utapeli Ukhty wangu 🤣Bro ujue nakuheshimu sana 🤣🤣
Ilikuaje kujae na wewe 🙌
😢😢Macho yangu hayaoni bhana, nimeshakuwa msee!
Kwanini sasa lipstick ya kijivu lakini 😢🤣🤣Ujana ni utapeli Ukhty wangu 🤣
Kila la kheriMuda unayoyoma sasa nijisogeze mtaani hapa naweza otea mshangazi wekeend ikawa bomba
Dada yangu anatisha kama dubu. Ulimwona lazima uzirai. Hivyo huyo si yeye!La hasha ni yeye 🤣
Hakuna bana 😢Dada yangu anatisha kama dubu. Ulimwona lazima uzirai. Hivyo huyo si yeye!
Taratibu nini?taratibu
Ukweli lazima usemwe. Mtu kama Ndalichako bwana!Hakuna bana 😢
Ujue hapa unamnanga dada ako kipenzi