Njoo nikuuzie pikipiki kwa bei chee

Njoo nikuuzie pikipiki kwa bei chee

Street Hawker

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2020
Posts
391
Reaction score
685
Njoo na 450k Tu.
Type: Yamaha
Kipengele: Kabuleta mbovu
Location: Kivule muembeni (Dar)
Contact: 0620813101
Screenshot_20250408_154352_WhatsApp.jpg
IMG_20250407_145559~2.jpg
 
Pikipiki bado ipo wakuu, ina karatasi zake kabisa nakupa.
Location: kivule
Contact: 0620813101
 
Mafundi mtanisaidia kabuleta ni nini
Screenshot_20250809_160125_ChatGPT.jpg

Hizo ndizo kazi zake, mm yangu ilikuwa inakula sana mafuta, kwahiyo nikampelekea fundi kumbe ni fundi wa bodaboda sio wa pikipiki za aina hiyo. Mimi naiuza kwasabu nimefeli sina pesa kwa sasa, ningeitengeneza nisingeiuza mana ilikuwa inanisaidia sana kwenda na kurudi kazini.
 
Piki piki za spana mkononi spare kupata changamoto....... ndo shida ya hizi piki piki spare zake kupatikana ngumu sana
Kariakoo kuna mafundi wa hizo pikipiki na spare zake zipo kule, hukosi spare kkoo, changamoto yangu ni pesa kwa sasa mkuu.
 
Mafundi wa pkpk hizi wengi wapo kkoo, nashindwa kwenda kwasabu sina pesa kwa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom