Uzuri ni kuwa unajua kuwa heshima na thamani ya mtu mwongo anayejijua kuwa mwongo kama wewe ni sawa na ya msukule. Mtu mzima na akili zako huwezi ukawa unawaza kuandika uongo kila siku, umechanganyikiwa kiasi hata hujitambui. Angalia picha za ukweli kuhusu mkutano wa Lowassa Njombe na Makambako hapa LOWASSA AITIKISA MAKAMBAKO NA NJOMBE LEO | MTAA KWA MTAA BLOG
Duh umetisha
Tar 1 ndiyo leo! Shauri yako
Akili yako mbovu mi nlikuwa redbrigade nyomi hatare...njombe kuna mahijabu eti