Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa.
Kutokana na hadhi mpya, Wilaya ya Njombe iligawanyika kati ya Njombe Mjini na Njombe Vijijini. Pia, mwezi Machi 2012, Wilaya ya Wanging'ombe ilianzishwa rasmi.
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Njombe ni 889,946; wanaume wakiwa 420,533 na wanawake 469,413.
Mkoa wa Njombe una majimbo sita (6) ya uchaguzi, ambapo Jimbo la Wanging'ombe linaongoza kwa kuwa na watu wengi (191,506), likifuatiwa na Jimbo la Njombe Mjini (182,127). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Ludewa lenye watu 109,160.
Soma Pia:
- Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
- Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Jimbo la Wanging'ombe
- Watu: 191,506 (Wanaume: 89,655, Wanawake: 101,851)
- Watu: 182,127 (Wanaume: 86,333, Wanawake: 95,794)
- Watu: 146,481 (Wanaume: 67,876, Wanawake: 78,605)
- Watu: 151,361 (Wanaume: 72,445, Wanawake: 78,916)
- Watu: 109,160 (Wanaume: 52,180, Wanawake: 56,980)
- Watu: 109,311 (Wanaume: 52,044, Wanawake: 57,267)
Mkoa wa Njombe ni miongoni mwa mikoa ambayo majimbo, Kata, Mitaa, Vijiji na Vitongoji vimemekuwa vikishikiliwa zaidi na Chama cha Mapinduzi ( CCM ) hata ukilinganisha katika uchaguzi wa mwaka 2015 katika majimbo sita yanilibebwa na wabunge wa CCM. Njombe Kaskazini: Ndugu Joram Hongoli (CCM) Njombe Kusini: Edward Mwalongo (CCM), Makambako: Ndugu Deo Kasenytenbda Sanga (CCM),Wanging'ombe: Nduguy Gerson Hosea Lwenge (CCM),Makete: Norman Adamson Sigalla (CCM)
JANUARI
FEBRUARI
- Pre GE2025 Aliyewahi kuwa Mbunge wa Lupembe: Ubunge sio kujua kusoma na kuandika pekee. Ni lazima ujue Kiingereza na sheria. Kutunga sheria ni kazi ngumu
- Pre GE2025 Mwenyekiti UVCCM Njombe: Kuna wanasiasa wameifanya Tanzania kama Gheto. Wanavuruga amani alafu kesho anakata tiketi anaondoka!
- Pre GE2025 Njombe: Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA tawi ahamia CCM
- Pre GE2025 Baraza la Madiwani halmashauri ya wilaya ya Ludewa lapitisha azimio la kugawa Jimbo la Ludewa kuwa Mawili
- Pre GE2025 DC Ludewa agawa Mbegu bora na za kisasa za Mihogo kwa Wakulima
- Pre GE2025 Serikali yatakiwa kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali
- Pre GE2025 Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Njombe Yajiridhia Kubadili Jina la Jimbo la Njombe Mjini kuwa Njombe Kusini
- Pre GE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Dkt Festo Dugange anateulika
- Chongolo aiomba serikali kujenga bandari kavu na soko la kimataifa la mazao
- DC Makete azindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 416
- CCM Njombe yatoa wito kwa wananchi kujitayarisha na Uchaguzi: 'Ni Takwa la Kikatiba'
- Mohammed Kawaida: Sina mpango wa kugombea Ubunge kwani nataka nikitumikie chama changu cha CCM
- Mohammed Kawaida: Walionyimwa Haki ya Kugombea Msiogope, Karibuni CCM
- Mohamed Kawaida: Vijana CHADEMA wanataka kushiriki uchaguzi
- Kawaida awasihi vijana wote kushiriki uchaguzi mkuu
- Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Kawaida: Viongozi bora hawawezi kutoka nje ya CCM
- Mbunge wa Lupembe asema CHADEMA wanavuka mipaka kwenda kuvuruga haki za wengine kupiga kura
- Katibu wa siasa na uenezi CCM Njombe, awaonya wanaokejeli viongozi kwenye mitandao
- CHADEMA Njombe walalamikia hali ya siasa nchini, yasikitishwa na matukio ya ukamataji na kuteswa kwa makada na viongozi wa chama
- Walioondoka CHADEMA, UWT Njombe yawakaribisha CCM yasema wasije na vurugu
- TAKUKURU yataka uchaguzi ndani ya vyama uwe uhuru
- Mbunge Deo Sanga kufikishwa kamati ya maadili kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa wananchi
- RC Njombe akabidhi shilingi milioni 30 kwa niaba ya Rais Samia, harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati
- Mbunge Deo Mwanyika: Nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka na nina uhakika, nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka
- Mbunge wa viti Maalum Neema Mgaya atangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine viti maalum uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025
- CCM Ludewa yapiga 'stop' wapambe, matarumbeta uchukuaji fomu
- Mbunge wa Lupembe anayemaliza muda wake, Edwin Swalle achukua fomu tena kuomba ridhaa ya muhula mwingine
- Kada wa CCM Aloyce Mwenda achukua fomu ya kuomba ridhaa jimbo la Lupembe
- Daniel Chongolo ajitosa jimbo la Makambako
- Mratibu wa shughuli za utawala Uplands Fm achukua fomu udiwani Mji mwema
- Falmeo Mahenge amejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kuomba kuteuliwa kuwa mgombea udiwani wa kata ya Iwawa, Njombe
- Aklin Ndelwa amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea udiwani wa kata ya Mbalatse, Njombe
- Odo Chaula: Nilipata ushirikiano wa kutosha kwa Wananchi wa Mwembetogwa
- Mwanahabari Aldo Sanga achukua fomu kugombea Udiwani kata ya Ipepo
- Mjumbe Kamati Maalum ya Waziri Mkuu Award Mpandila achukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Makete
- Deo Mwanyika achukua Fomu ya Kugombea Ubunge kwa awamu ya Pili Jimbo la Njombe Mjini
- Rogatus Shotta Nkwera achukua na kurudisha Fomu ya kugombea Ubunge Ludewa kupitia CCM
- Mwenezi wa BAWACHA Taifa ahutubia kwenye mkutano wa CHAUMMA
- Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025