Ni mshari sio mshali![emoji23][emoji23]mshali
Wako rafu sana hao jamaaKuna mtu amesema huwa wanakijiubabe fulani njiani
Wana ujinga mwingiKuna mtu amesema huwa wanakijiubabe fulani njiani
Hakuna kingine Mkuuu.Mungu awarehemu marehemu wote.
Hizi ajali za Lori na gari za abiria zimezidi kwa kweli, natagemea ungefanywa hata na waandishi wetu wa habari waseme nini chanzo. Binasfi nahisi baadhi ya madereva wameanza kutumia alcohol hasa nyakati za mchana.