S Siyabonga101 JF-Expert Member Joined Mar 8, 2016 Posts 2,424 Reaction score 2,300 Aug 16, 2017 #21 ze farmer said: Hawa jamaa Glory Hotel hawana space wanadai zimejaa mkuu 60,000*30=1,800,000 mshahara wa mwalimu wa sekondari miezi minne na nusu.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Njombe napo hoteli zinajaa au wanakutia ndimu tu!
ze farmer said: Hawa jamaa Glory Hotel hawana space wanadai zimejaa mkuu 60,000*30=1,800,000 mshahara wa mwalimu wa sekondari miezi minne na nusu.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Njombe napo hoteli zinajaa au wanakutia ndimu tu!
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 Aug 16, 2017 #22 maharage ya nazi said: Bro acha ushamba wa kizamani kuuliza uliza. Fungua Googlemap>>>nenda njombe>>>select hotels... itakupa hotel zote, picha zake, number ya mawasiliano na bei. Kila la heri. Dunia ni kijiji. Click to expand... Kwani ungeandika ulichokiandika na kuto andika neno mshamba asingekuelewa.
maharage ya nazi said: Bro acha ushamba wa kizamani kuuliza uliza. Fungua Googlemap>>>nenda njombe>>>select hotels... itakupa hotel zote, picha zake, number ya mawasiliano na bei. Kila la heri. Dunia ni kijiji. Click to expand... Kwani ungeandika ulichokiandika na kuto andika neno mshamba asingekuelewa.