security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Ukifikilia kwa makini kuhusu Deo Filikunjombe, nahisi utabadili heading ya thread yako.
Yani siku mjinga ni mjinga tu. Umeandika nini tena...! Maana njombe naijua sana maana nimezaliwa huko. Na hali huko ni mbaya sana, watu ni masikini mno, wameporwa ardhi yao na mafisadi, mahospitalini shida tupu, umeme ndio kabisa mkoa mzima vijiji Sita ndio vina umeme,barabara chafu mno na mbaya kabisa ukielekea Makete, kuelekea Ludewa ndio siongei kabisa yaani ni kama Mbuga ya wanyama. Deo filikunjombe ameamua kuwa mpinzani maana wilaya yake ndio ya mwisho hapa nchini.Pole mtoa mada kwa ujinga ulinao, Kama wewe ni wa njombe basi sio hii njombe yetu. Khaa...nyevadimi....!CCM yazidi kuwa na nguvu katika mkoa wa Njombe baada ya wananchi wake kushuhudia ukweli kwa kuona utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ukifanyika kama ilivyoahidiwa.....wakazi hao wa Njombe amabo wana sifa ya uafanyaji kazi kwa bidii wamemthibitisha Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana kuwa CCM itashinda tena kwa kishindo kikubwa hapo Njombe, wamemuambia upinzani hakuna kabisa mkoani hapo.
Wewe mtoa mada hasa naona hujitambui, yaani wee ni giza tena giza totolo, ina maana Njombe:-
1. Hakuna mfumko wa bei ya vitu
2. Mohospitalini ukienda unapata tu kila dawa
3. Akina mama wajawazito akienda kujifungua anapata kila kitu, gloves, jik, ergometrine inj n.k
4. Wazee hospitalini wanapata matibabu bure
5. Shule za secondari walimu wamejaa au wanajitosheleza
6. Michango ya hapa na pale mashuleni Njombe hamna
7. Nyumba za walimu zimejitosheleza
8. Mahakamani huambiwi ulete karatasi hapo njombe
9. Ukipata tukio la uharifu ukitoa ripoti hapo NJOMBE police wanafika mala moja
10. Hapo NJOMBE watoto wa vigogo wanasoma shule za secondari za kata
Aise mtu kama umevimbiwa ni bora kwenda chooni kujisaidia kuliko kuchafua hali ya hewa kwa mada uliyoiweka, afterall what is katibu mkuu wa chama, jangili mkubwa who is one hundred percent dangerous for the future of our nation.
wewe mtoa mada hasa naona hujitambui, yaani wee ni giza tena giza totolo, ina maana njombe:-
1. Hakuna mfumko wa bei ya vitu
2. Mohospitalini ukienda unapata tu kila dawa
3. Akina mama wajawazito akienda kujifungua anapata kila kitu, gloves, jik, ergometrine inj n.k
4. Wazee hospitalini wanapata matibabu bure
5. Shule za secondari walimu wamejaa au wanajitosheleza
6. Michango ya hapa na pale mashuleni njombe hamna
7. Nyumba za walimu zimejitosheleza
8. Mahakamani huambiwi ulete karatasi hapo njombe
9. Ukipata tukio la uharifu ukitoa ripoti hapo njombe police wanafika mala moja
10. Hapo njombe watoto wa vigogo wanasoma shule za secondari za kata
aise mtu kama umevimbiwa ni bora kwenda chooni kujisaidia kuliko kuchafua hali ya hewa kwa mada uliyoiweka, afterall what is katibu mkuu wa chama, jangili mkubwa who is one hundred percent dangerous for the future of our nation.
Hivi mbona Maccm wanapoibukaga tu wao na Chadema! Mbona hawakigusi kabisa chama cha Kiliberali! Au nao pia ni Maliberali? Maana kuna kipindi Nape alikuwa anatumia sana Calorite.
upinzani hakuna wakati deo ni mpinzani??? Akisimama tu bungeni ccm matumbo moto!
Hizo hapo juu ndo huwa zinaitwa kero za wanainchi ngazi ya jamii(grassroot level) pamoja na hizo juu naongezea zifuatazoWewe mtoa mada hasa naona hujitambui, yaani wee ni giza tena giza totolo, ina maana Njombe:-
1. Hakuna mfumko wa bei ya vitu
2. Mohospitalini ukienda unapata tu kila dawa
3. Akina mama wajawazito akienda kujifungua anapata kila kitu, gloves, jik, ergometrine inj n.k
4. Wazee hospitalini wanapata matibabu bure
5. Shule za secondari walimu wamejaa au wanajitosheleza
6. Michango ya hapa na pale mashuleni Njombe hamna
7. Nyumba za walimu zimejitosheleza
8. Mahakamani huambiwi ulete karatasi hapo njombe
9. Ukipata tukio la uharifu ukitoa ripoti hapo NJOMBE police wanafika mala moja
10. Hapo NJOMBE watoto wa vigogo wanasoma shule za secondari za kata
Aise mtu kama umevimbiwa ni bora kwenda chooni kujisaidia kuliko kuchafua hali ya hewa kwa mada uliyoiweka, afterall what is katibu mkuu wa chama, jangili mkubwa who is one hundred percent dangerous for the future of our nation.
NJOMBE ni mkoa! Umewezaje kufanya utafiti kwa kila mwana NJOMBE awepo NJOMBE au NJE ya NJOMBE na kukuthibitishia kwamba hawatapiga kura kwa mpinzani?!CCM yazidi kuwa na nguvu katika mkoa wa Njombe baada ya wananchi wake kushuhudia ukweli kwa kuona utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ukifanyika kama ilivyoahidiwa.....wakazi hao wa Njombe amabo wana sifa ya uafanyaji kazi kwa bidii wamemthibitisha Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana kuwa CCM itashinda tena kwa kishindo kikubwa hapo Njombe, wamemuambia upinzani hakuna kabisa mkoani hapo.