Kinana na ccm yake wako hoi, mi nipo Njombe kwenye mkutano wa ccm response ilikuwa ndogo sana, wahudhuriaji walikuwani wale wa kupewa buku tano.
CCM yazidi kuwa na nguvu katika mkoa wa Njombe baada ya wananchi wake kushuhudia ukweli kwa kuona utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ukifanyika kama ilivyoahidiwa.....wakazi hao wa Njombe amabo wana sifa ya uafanyaji kazi kwa bidii wamemthibitisha Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana kuwa CCM itashinda tena kwa kishindo kikubwa hapo Njombe, wamemuambia upinzani hakuna kabisa mkoani hapo.
Tunaheshimu uhuru wa kutoa maoni. Ingawa itakuwa vema kama usingizi ukiisha uje tena uandike ulicho kiona kama kinafanana na kile ulichokuwa unaotaCCM yazidi kuwa na nguvu katika mkoa wa Njombe baada ya wananchi wake kushuhudia ukweli kwa kuona utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ukifanyika kama ilivyoahidiwa.....wakazi hao wa Njombe amabo wana sifa ya uafanyaji kazi kwa bidii wamemthibitisha Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana kuwa CCM itashinda tena kwa kishindo kikubwa hapo Njombe, wamemuambia upinzani hakuna kabisa mkoani hapo.