security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
CCM yazidi kuwa na nguvu katika mkoa wa Njombe baada ya wananchi wake kushuhudia ukweli kwa kuona utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ukifanyika kama ilivyoahidiwa.....wakazi hao wa Njombe amabo wana sifa ya uafanyaji kazi kwa bidii wamemthibitisha Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana kuwa CCM itashinda tena kwa kishindo kikubwa hapo Njombe, wamemuambia upinzani hakuna kabisa mkoani hapo.