Njiwa anathamani gani kwa matajiri wa kiarabu?

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
Naomba msaada, matajiri wengi wa kiarabu wamefuga njiwa!, Hood ni mojawapo wa hao na amekuwa akinunua kiasi kikubwa cha ufuta kwaajili ya kuwalisha wale Njiwa, je kuna mahusianp yoyote kati ya uwezo wa kiuchumi alio nao, ama control za ajali ya mabasi yake na hao njiwa? yaani mambo ya teknolojia asilia(IK-indigeneous Knowledge)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…