Sema nae Paw kaingia chaka kumpenda mjeda....yan hana sauti kwa haka kamdada!
Sante mkuu, tena nikija chugga nina kikao na nyie. , .
kikao kuhusu nini.....?
Kikao cha. Nn tenahellow CC,
Hope mko poa, nipo njiani kwenda Moshi, na wiki hii wana Jf wa Arusha nina kikao na nyinyi.
Have a nice Sunday every1 I love you all.
kikao kuhusu nini.....?
We sema umezmiss bia za arusha itaelewekaVitaishia wapi wakati ndo namna nchi inaendeshwa. . .kwa vikao. . .
Heheheheee una jeuri ya kumnyang'anya?Anathubutu kwangu! Anajua atalala njaa, ntamnyang'anya master card zote nimempa. ,
anawaletea kadi za mchango wa harusi....nimewaza kwa sauti tu
Safari njema Don Mangi na karibu sana Moshi karibu Arusha!
Copy kwa LiverpoolFC
Karibu sana, tunakusubiri jijini Arusha!!
Tsicha tiki @ King'asti but umeniboa na ile safari yetu ya shelisheli mpaka nikaahirisha.
We mwenyeji wake usiku mchana tunagonga ndovu tu vidume