ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
Kama hutaki usumbufu pia unaweza ku forward simu zote na ukapata sms pindi .mtu akikupigia *21#0754125125#ok hii ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok. Ukitaka kutoa ##002#ok.
Sim itakua haipatikani pindi mtu atakapo kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia kwa mda huo huo.
ahsante kwa taarifamfano kama utaluhusu *35*0000#kisha ok hapo utakuwa umesitisha cm ambazo utakuwa umepigiwa wala sms hutaweza kupata na simu yako bado itakuwa oni.we utaweza kupiga hata kutuma sms ila hawezi kukupigia ukitaka kuifungua au iludi kwenye hali yake ya kawaida ni #35*0000#kisha ok.kwa wenye elimu zaidi tupeane maujanja
je kwa sisi tunaotumia tigo inakuwaje hapo ndg
Kuepuka usumbufu ni ku-install call control software.
mfano kama utaluhusu *35*0000#kisha ok hapo utakuwa umesitisha cm ambazo utakuwa umepigiwa wala sms hutaweza kupata na simu yako bado itakuwa oni.we utaweza kupiga hata kutuma sms ila hawezi kukupigia ukitaka kuifungua au iludi kwenye hali yake ya kawaida ni #35*0000#kisha ok.kwa wenye elimu zaidi tupeane maujanja
Wakuu,
Naomba ile njia ya kupata notification ya simu zilizokupigia wakati simu yako imefungwa au haipatikani kwa mtandao wa tigo, airtel na voda.
Asanteni!
Kama hutaki usumbufu pia unaweza ku forward simu zote na ukapata sms pindi mtu akikupigia *21#0754125125#ok hii ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok. Ukitaka kutoa ##002#ok.
Sim itakua haipatikani pindi mtu atakapo kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia kwa mda huo huo.
Je vipi kuitoa tena? Make mimi tayari nimefanya hivyo nimeshindwa kuitoa tena.
mfano kama utaluhusu *35*0000#kisha ok hapo utakuwa umesitisha cm ambazo utakuwa umepigiwa wala sms hutaweza kupata na simu yako bado itakuwa oni.we utaweza kupiga hata kutuma sms ila hawezi kukupigia ukitaka kuifungua au iludi kwenye hali yake ya kawaida ni #35*0000#kisha ok.kwa wenye elimu zaidi tupeane maujanja
Je vipi kuitoa tena? Make mimi tayari nimefanya hivyo nimeshindwa kuitoa tena.
Samahani mkuu, hapo unakuwa umezuia namba za mtu yeyote asikupate hewani au ni namba maalum tu mfano ya mtu anayekuletea usumbufu usio wa lazima?