mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,463
Mimi ni kati ya watu wengi humu wenye uchu wa mafanikio, nimeona niwashirikishe njia ninayopitia ili nipate mawazo yako na unikosoe.
Niaminivyo Pesa huja wakati flani hivi baada ya kupambana mno mno, unaweza pambana ata ukafikisha miaka 45 usikate tamaa, inawezekana ungefikisha 46 ndo ingekuwa zamu yako ya kutusua
Wengine 30, wengine 35 n.k
Unapoona wepesi kidogo kwenye mambo yako, ndo mafanikio yenyewe hayo dunduliza kwa muda utakuwa umetusua
Masharti
- Usichezee pesa
- Andika matumizi yako yote hata kama umenunua kondomu, ili ujitathini kila mwezi
-Usichezee fursa( hili neno mimi binafsi naltafsiri tofauti kidogo siyo eti unauza simu anajuja MTU anakuuzia simu za dili unajiambia usichezee fursa) kuwa makini man hakuna shirtcat maishani
- kuwa makini na maamuzi unayochukua ( usikurupuke kununua kitu jiulize, kichimbe hicho unachotaka kununua, kijue vema )
-Usikate tamaa kamwe
-Usipoteze muda popote pangilia muda wako, panga ratiba kila siku jioni
-Andika mambo yako unayotaka kufanya kama ukipata hela kidogo, kubwa n.k
Ili kama ukipata usikurupuke kufanya tu mambo viwe kwenye ratiba
-Waza hayo uliyoandika na kupeleleza ili kuyarekebisha mfano umepanga ukipata milioni1 naweka biashara nyingne ya vipodozi, iwaze, na uliza inawezekana kumbe watakiwa kwa hilo eneo uweke nguo za kike siyo urembo kama ulivyokuwa unewaza awali n.k
Haujachelewa anza sasa.
Ahsante
Wewe unasemaje? Unafanyeje mambo yako?
Unanishaurije