Njia ya kubadili IP address ya simu

Njia ya kubadili IP address ya simu

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
4,490
Reaction score
11,196
wadau!
masaada, hivi kuna njia au uwezekano wakubadili IP adress ya simu bila ku restore au ku flash simu?

wajuzi wa haya mavitu ningependa kufahamu hili
 
Wewe una maanisha imei bila shaka mana IP kila ukitoka ukarudi upya mtandaoni unakuwa assigned na new ip adress
 
IP hua unapewa na mtandao husika (tigo,voda) na hubadilika kila unapowasha data, haiusiani na simu
 
hadi hapa nimeshaelewa nilichokuwa nakitaka, asanteni wakuu hapo juu kwa maelezo yenu
 
Mkuu swali lako limenifurahisha sana, anyway kwa kuwa umeshapata jibu let me reserve my comment.
 
Back
Top Bottom