Njia wazitumia wanawake kutupiga mizinga.

Inashangaza sana.

Hata mtaani tu, mtu akuuguliwa mnaweza kumpa pole ya hela, akifiwa rambi rambi. Sasa kwenye mapenzi ya kileo haadi rambirambi ni hongo?

wakiendelea na tabia zao hizi, wataishia kuangalia wenzao tu wanavyoenjoy malavidav.
 
Matatizo wana wake tu? Mbona wanaume hatusem? Hata kama mwana mke matunzo. Nenda kwa vigogo a.k.a vikun uka pate matunzo na ngwengwe upendeze nayo mtaani.
 
Nimeipenda.. ... I love you too...., unamalizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…