Njia Sita za Kumnasa Demu Mkali…

Utasugua sana ukifuata hizo pumba, njia rahisi ni kumwaga minoti tu.

Ile unachukua namba mtandike usoni na 30,000 mwambie hiyo ya vocha. Alafu hakuna kulemba jioni omba utoke nae hawezi zingua. Akija mpeleke mahala mpate vinywaji huku unampa stori za kumnyegesha na kumsifia kwa sana. Yaani ikipita masaa kama matatu hivi uko kwenye hizo stori mtoto hachomoi, msogelee sasa anza kumshika shika hapa na pale ukiona ana kubali kwisha habari yake. Mtandike tena na 50,000 alafu chukua chumba jisevie utakavyo. Ataka kama mmekutana leo Papuchi anatoa tu kirahisi labda uwe zombie. Ndio njia nayo tumia mm kila nikiwa na hamu na Papa.

hahaha. Unachokisema kipo-though sio kanuni-nakumbuka my story, kipindi nipo 'shule' nilipata kumuona binti mmoja mashallah, hatimaye nikafanikiwa kupata namba yake. But response ilikua poor sana. Mara haipokelewi, mara haijibiwi. Zaidi ya mwezi, nikaamua kutumia uchawi wa kizungu. Ijumaa moja mchana, nimetuma msg, no reply. Nikaenda hewani, 'vipi mrembo, ninakusumbua na calls zangu, mbona hujibu msg?. Jibu lake ni kua sina vocha. Nikahang up, nikamtilia vocha ya ten. Akajibu asante, then nikamkaushia. Akauliza mbona kimya, nikachuna. Kesho yake jioni nikatuma msg ya kupropose dinner. TICK. Dinner sikutangaza njaa, kama 70 ilikatika. Nikamdrop kwake, from there sikureply msg. Sunday mchana nikaomba tukutane 'somewhere'. The rest was history!
 
Yuu ar wrong completely... Eti omba mtoko wa kizushi io haipo iyo.... Haipo iyo, swaggz hazifundishwi na hua zinakuja papo kwa papo kutokana na majibu unayopewa.... Sasa wale matomaso wazee wa kukariri kazi kwenu...
 
Utasugua sana ukifuata hizo pumba, njia rahisi ni kumwaga minoti tu.

Ile unachukua namba mtandike usoni na 30,000 mwambie hiyo ya vocha. Alafu hakuna kulemba jioni omba utoke nae hawezi zingua. Akija mpeleke mahala mpate vinywaji huku unampa stori za kumnyegesha na kumsifia kwa sana. Yaani ikipita masaa kama matatu hivi uko kwenye hizo stori mtoto hachomoi, msogelee sasa anza kumshika shika hapa na pale ukiona ana kubali kwisha habari yake. Mtandike tena na 50,000 alafu chukua chumba jisevie utakavyo. Ataka kama mmekutana leo Papuchi anatoa tu kirahisi labda uwe zombie. Ndio njia nayo tumia mm kila nikiwa na hamu na Papa.
Duuh..mzee mshahara wako kwa mwezi unaruhusu kufanya hivo...
 
WEWE WADANGANYE WENZIO TU MANINA ..DEMU MKALI HATA UKIMTONGOZA THEN AKAKUKUBALI NA UKAFAULU KUMLA ..KAMA UKIWA HUNA KITU THEN CO MTOTO WA MJINI LAZIMA UTA FALL TU ...SASA BALAA LINAANZIA HPO PESA YKUMFNYA AWE ANAZIDI KUN'GAA HUNA MAISHA YKO YENYEWE YAKUTEMBEA NA BWANA KAMA PETRO ....SO JIANDAE KUFA KWA STRESS....MIMI SITAKAGI KABISA HUO. UJINGA ...MIAKA YA NYUMA KAMA ILIPOKUWA NAONA KUWA SINA PESA NIKIFAULU KUMKAMATA NAPIGA THEN STAKI TUWE CLOSE ...YAANI NATAKA YALE MAHUSIANO FLANI YA KISELA ...
 
IMG_20180406_221625_077.jpg
 
Utasugua sana ukifuata hizo pumba, njia rahisi ni kumwaga minoti tu.

Ile unachukua namba mtandike usoni na 30,000 mwambie hiyo ya vocha. Alafu hakuna kulemba jioni omba utoke nae hawezi zingua. Akija mpeleke mahala mpate vinywaji huku unampa stori za kumnyegesha na kumsifia kwa sana. Yaani ikipita masaa kama matatu hivi uko kwenye hizo stori mtoto hachomoi, msogelee sasa anza kumshika shika hapa na pale ukiona ana kubali kwisha habari yake. Mtandike tena na 50,000 alafu chukua chumba jisevie utakavyo. Ataka kama mmekutana leo Papuchi anatoa tu kirahisi labda uwe zombie. Ndio njia nayo tumia mm kila nikiwa na hamu na Papa.
Mkuu unalipa 80,000 kwa ajili ya papuchi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom