Safi sana. Post imejieleza vizuri kabisa.
Ningependa kuongezea njia nyingine.
Kujiajiri kwenye vitu visivyohitaji mtaji
Mfano mmoja wapo ni mtandaoni, kuna vitu vingi unaweza kujifunza na kuvifanya mtandaoni bila kuingia gharama. Tembelea mtandao wa
www.ajiras.com uone mifano ya vitu watu wanafanya alafu ingia google uone mafunzo ya kufanya hivyo vitu.
Utagundua kuwa inawezekana. Unaweza pia kujifunza vitu kama kupiga picha, alafu ukaanza kuiza huduma hiyo kwenye mtandao wa
www.ajiras.com ambao kujiunga ni bure na wana kusaidia kupata wateja.
Angalau nenda uangalie ikibidi uliza maswali pale kwenye chat wata kusaidia.