Njia rahisi ya kunikataa kimapenzi ambayo kwanzia hapo sitokusumbua. Kwa mimi mwanaume Bukta hii ni nzuri

Ujumbe mzuri sana,
GuDume umeeleza mambo mzuri na mifano hai kabisa.

Nachojua, hakuna mwanaume mgumu kutoa Pesa kwa mwanamke ila wanawake wanakosa ubunifu wa kuomba Pesa kwa mwanaume.
Badala yake mwanaume hushtukia tu kama anaibiwa!!!!!
 
wengi wa mabinti wanajiuza ila wanatumia mtindo wa kisasa zaidi kichekesho ukute wanavyowananga wale wanao jipanga pale corner bar kua hawajiheshimu wakati uko nae na kataja dau lake katika mtindo tofauti tu,unakurupuka vipi kudai 50000 ya kusukia wakati mhuni sijapita bado tofauti ni aina soko tu ila wengi wafanya biashara.
Ivi Galadudu yuko wapi maana yule nigga alikua anatiririsha mikasa kama hii na kitambo sijamsoma hapa jukwaaani.
 
Ujumbe mzuri sana,
GuDume umeeleza mambo mzuri na mifano hai kabisa.

Nachojua, hakuna mwanaume mgumu kutoa Pesa kwa mwanamke ila wanawake wanakosa ubunifu wa kuomba Pesa kwa mwanaume.
Badala yake mwanaume hushtukia tu kama anaibiwa!!!!!
Nakuunga mkono mkuu
 
Pesa.pesa.pesa.pesa hivi hawa watu mbona mahitaji ya pesa yanazidi wanaozitafuta?
 
Wanaotag ni mbwembwe tu mkuu..tunaowakamua humu jf hua hatutag
Haya maneno yenu ya kuudhi ndo yanasababisha muombwe hela. Eti tunawakamua mara utasikia mwingine anasema nimemgegeda mara nimemdinya jamani haya maneno yanaudhi sana yanamfanya mwanamke ajione hana thamani. Tafuteni lugha nzuri ya kumfanya mtu asijione mnyonge. Sasaiv anzeni kusema tumekulana, tumedinyana,tumegegedana uone kama kuna mtu ataomba hata mia. Tena wengine msipoombwa hela mnaanza kuwaita cheap. Mwingine akitoka hapo anaenda kujisifia yule nimemnunulia chips kuku nimeenda kumla hana hata garama. Wewe ulietoka kudinywa unamsikia mwenzio anasema hivyo utajisikiaje? Jamani tuheshimianeeee. Kikubwa ni heshima. Tukiheshimiana hata haya mambo ya kuombana hela hayatakuwepo coz wote tutaonekana tumefanya, kama ni dhambi wote tumefanya wote tumezini. Tatizo wanaume mnapenda sifa ndo kinachowacost.
 
Wa kuheshim ni mke tu kaka..wengne unajidanganya ...kamua baba,kamua baba..
 
Back
Top Bottom