Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,744
- 3,019
WellSiku ukitendwa utajua wanawake ni watu gani...hautawatetea tena utaungana na mimi kuwakamua

AaaahHaaaaaaa agiza savanah ntalipa
AiseeeWanaotag ni mbwembwe tu mkuu..tunaowakamua humu jf hua hatutag
Hahahahaha
Tafuteni pesa vijana....... Ukiona hivyo ujue ujakidhi viwango vya mdada yaani na yeye anakuona mpitaji tu!!!Unakuwa hauna muonekano wa mkaka anaejitambua ndio maana unapigwa vibomu......
Tatizo mnataka wadada wanaojielewa wakati nyie wenyewe hamjielewi..
Trust me hakuna mdada anaekutana na mkaka wa maana /potential yaaani mtu anaejielewa afu akawa anampiga vibomu.
sio kweliHahahahaha

Haya maneno yenu ya kuudhi ndo yanasababisha muombwe hela. Eti tunawakamua mara utasikia mwingine anasema nimemgegeda mara nimemdinya jamani haya maneno yanaudhi sana yanamfanya mwanamke ajione hana thamani. Tafuteni lugha nzuri ya kumfanya mtu asijione mnyonge. Sasaiv anzeni kusema tumekulana, tumedinyana,tumegegedana uone kama kuna mtu ataomba hata mia. Tena wengine msipoombwa hela mnaanza kuwaita cheap. Mwingine akitoka hapo anaenda kujisifia yule nimemnunulia chips kuku nimeenda kumla hana hata garama. Wewe ulietoka kudinywa unamsikia mwenzio anasema hivyo utajisikiaje? Jamani tuheshimianeeee. Kikubwa ni heshima. Tukiheshimiana hata haya mambo ya kuombana hela hayatakuwepo coz wote tutaonekana tumefanya, kama ni dhambi wote tumefanya wote tumezini. Tatizo wanaume mnapenda sifa ndo kinachowacost.
Well saidHahahahaha
Tafuteni pesa vijana....... Ukiona hivyo ujue ujakidhi viwango vya mdada yaani na yeye anakuona mpitaji tu!!!Unakuwa hauna muonekano wa mkaka anaejitambua ndio maana unapigwa vibomu......
Tatizo mnataka wadada wanaojielewa wakati nyie wenyewe hamjielewi..
Trust me hakuna mdada anaekutana na mkaka wa maana /potential yaaani mtu anaejielewa afu akawa anampiga vibomu.
Ahahahahah watu mnafatiliaa