Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Umenikumbusha wimbo wa manduli Mobb(Daz P & Mh Temba)-Kama unataka Kuja Home
njo vile nikasema huenda ni masanamuNishapotea,ina maana hao wazungu kila siku wanaingia mgahawani,nikikuta wameshaondoka je..??
huku ndo kule ukifika stendi usiondoke kaa hapo hapo nakuja kukuchukua zaidi ya hapo utajuta kwanini ulienda kuitafuta nyumba..
umenikumbusha wimbo wa manduli mobb(daz p & mh temba)-kama unataka kuja home