stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 18,905
- 14,669
Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke
Kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi iingie katika biashara pamoja na research and development, ukikutwa unafanya siasa na sio mwaka wa uchaguzi sheria ifanye jambo
Kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi iingie katika biashara pamoja na research and development, ukikutwa unafanya siasa na sio mwaka wa uchaguzi sheria ifanye jambo