Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,150
Kumbe..sikujua hiliInawezekana ndio. Sisi ni wanaume tofauti kidogo na nyie.
Ni commitment tu ndo inatufanya tuamue kuwa na mke mmoja
Kumbe..sikujua hiliInawezekana ndio. Sisi ni wanaume tofauti kidogo na nyie.
Ni commitment tu ndo inatufanya tuamue kuwa na mke mmoja
Hahhaahah now you know. Watu wengi huwa wanachanganya sana na hawaelewi kuhusu hilo wanadhani ni tamaa tu. Hapana that's how we are wired. Na kwa mimi binafsi inapofikia mtu anakua na michepuko sugu ya muda mrefu ambayo technically ni kama ndoa tu unamwambia kabisa jamaangu ni bora uoe tu uongeze ijulikane moja. Unawasaidia wote mkeo na familia ya watoto unaozaa huko njeKumbe..sikujua hili
kwahio mkuu watu wasio na watoto hawafai kuwa na ndoa?.Omba yasikukute wewe mkuu.Mkuu najua jibu tayari unalo.
Ila mm nakushauri chukua huyo aliyekuzalia, maana definition ya ndoa ni watoto.
Hapo lazima ufanye maamuzi magumu ya kiume.