Aiba
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 2,049
- 3,933
Toa ushauri Acha blah blah nani kakwambia kuowa ni kumuhurumia mtuUnaonekana wewe ni mtu mzima Hovyo mkuu..Huyo mdada uliyempotezea muda unataka umuachie nani??
Toa ushauri Acha blah blah nani kakwambia kuowa ni kumuhurumia mtuUnaonekana wewe ni mtu mzima Hovyo mkuu..Huyo mdada uliyempotezea muda unataka umuachie nani??
Aliyekwambia Nani mtu wameshaachana kisheria unasema wako kwenye ndoa watu bado mnaimani za kikatoliki kanisa lenyewe linanuka damu za watu mm ni mkatoliki lkini siwezi kufungwa na kifungo ichoo kwamba ukiowa ndyo umeowaUnakumbuka kuwa bado umo ndani ya ndoa?
If you love two people at the same time
Choose the second one
because if you really loved the first
you wouldn't have fallen for the second
JOHNNY DEPP
Mmoja nimeshamjengea huyu wa 2010 sasa nataka nimfanyie mambo huyu 2015 panapo majaliwaAchana na habar za kumbukumbu sijui uoe mmoja sijui nini kaa nao wote kila mmoja mjar kivyake watengenezee mazingira mazur kila mmoja mjengee mana kama unamiliki wanawake wawili kwa miaka yote hiyo ujue umejipanga kaa nao wote ndio ushaur wangu
Point afanye hivyohovyo... Maana yule wa mwanzo hakuwa na Mapenzi naye ndo maana akatafuta Huyo mwanachuo....All in All ameshachemaka Tayari katika tasnia ya Mapenzi... Things will never be the same AgainIf you love two people at the same time
Choose the second one
because if you really loved the first
you wouldn't have fallen for the second
JOHNNY DEPP
Kweli kabisa kama ndoa ni ya bomani oa wote .Waoe wote
Anayefaa kuhalalishwa,NI YULE UNAYEMPENDA KWA DHATI.Wakuu msaada wa kimawazo, kimsingi nilishawahi kuoa huko siku za nyumba ndoa ya kikatoliki, ila haikudumu kwa muda mrefu tukatengana kidini na kimahakama na ndoa ikaishia hapo ila tulibshatika kupata mtoto mmoja kwenye ndoa, katika harakati za kimaisha nikakutana na binti mmoja 2010 ambae nimefanya nae maisha mpaka sasa niko nae tunaishi kama wanandoa ingawa sijafanya process zozote kumuhalisha na watu mpaka staff wenzangu ndo wanajua mkewangu na sijazaa nae mpaka sasa kutokana na changamoto zake za uzazi, kama vile haitoshi 2015 nikakutana na kabinti fulani kanaanza chuo, nilikachulia mzaha lakini baadae nikazama penzini mpaka alipomaliza chuo bado niko nae na sasa anatarajia kunipatia mtoto Mungu akijalia, wote wanafamiana ingawa hawataki kutambuana hasa huyu wa 2010, majuzi nilifanya kaprocess ka utambuzi kwa huyu wa 2015 ili tu kumuheshimisha kwa wazazi wake lakini pia ili kusiwe na zengwe pindi nitakapo muhitaji mtoto wangu akizaliwa.
Muhimu ni kwamba wote nawapenda sana na wao wananipenda sana na kujali familia yangu kwa maana mama na ndugu zangu na wote wananifahamu sana, sasa nataka nifanye maamuzi ya kuhalalisha ndoa Bomani Je ni nani anastahili kuhalalishwa kati ya hao wawili ndugu zangu, kwa sababu siwezi kuoa wote .
Nitashukuru kwa michango yenu ya kimawazo iliotukuka.
Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Hapo tayari. Umeshakua na ndoa ya wake wengi. Chakufanya unatakiwa uwatambue yote kama wake zako. Moja funga nae ndoa ya kidini na mwengine funga nae ndoa ya serikalini. Utakua umetenda hakiWakuu msaada wa kimawazo, kimsingi nilishawahi kuoa huko siku za nyumba ndoa ya kikatoliki, ila haikudumu kwa muda mrefu tukatengana kidini na kimahakama na ndoa ikaishia hapo ila tulibshatika kupata mtoto mmoja kwenye ndoa, katika harakati za kimaisha nikakutana na binti mmoja 2010 ambae nimefanya nae maisha mpaka sasa niko nae tunaishi kama wanandoa ingawa sijafanya process zozote kumuhalisha na watu mpaka staff wenzangu ndo wanajua mkewangu na sijazaa nae mpaka sasa kutokana na changamoto zake za uzazi, kama vile haitoshi 2015 nikakutana na kabinti fulani kanaanza chuo, nilikachulia mzaha lakini baadae nikazama penzini mpaka alipomaliza chuo bado niko nae na sasa anatarajia kunipatia mtoto Mungu akijalia, wote wanafamiana ingawa hawataki kutambuana hasa huyu wa 2010, majuzi nilifanya kaprocess ka utambuzi kwa huyu wa 2015 ili tu kumuheshimisha kwa wazazi wake lakini pia ili kusiwe na zengwe pindi nitakapo muhitaji mtoto wangu akizaliwa.
Muhimu ni kwamba wote nawapenda sana na wao wananipenda sana na kujali familia yangu kwa maana mama na ndugu zangu na wote wananifahamu sana, sasa nataka nifanye maamuzi ya kuhalalisha ndoa Bomani Je ni nani anastahili kuhalalishwa kati ya hao wawili ndugu zangu, kwa sababu siwezi kuoa wote .
Nitashukuru kwa michango yenu ya kimawazo iliotukuka.
Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Hata bomani ukienda unaulizwa unataka ndoa ya namna gani? Mume mmoja mke mmoja au mume mmoja wake wengi. Ni swala la kuamua tu manaake hata mila zetu zinaruhusu. Vifungo viko kwenye dini tu. Tena dini moja ya kikristoHapo tayari. Umeshakua na ndoa ya wake wengi. Chakufanya unatakiwa uwatambue yote kama wake zako. Moja funga nae ndoa ya kidini na mwengine funga nae ndoa ya serikalini. Utakua umetenda haki
Inawezekana ndio. Sisi ni wanaume tofauti kidogo na nyie.Hivi unaweza kupenda wanawake wawili kwa wakati mmoja..Kama si uongo