Kutokana na kukosa mambo muhimu yanayoendelea duniani hivyo nimeamua kutafuta king'amuzi ambacho kiasi kitanisaidia kupata habari mbili tatu.....hivyo nilikuwa nawauliza waungwana wa humu ndani kati ya king'amuzi cha azam na kile cha startime kipi bora?
A..kwa maana malipo kama haukufanikiwa kulipa mwisho wa mwezi kwa kingamuzi kama azam unakatiwa kuona stesheni zote za tanzania au kwa baadhi tu..
B...malipo yao kwa kila mwezi yanagharimu kwa bei gani?
C....kinga'muzi bora kati ya hivyo tajwa hapo juu ni kipi?
D....na kipi kina stesheni nzuri za nje ya nchi na pia kina onesha mipira vilevile kina stesheni zote za tanzania
tafadhalini sana naombeni msaada wenu kwa anaetambua kiundani vinga'amuzi hivi.