Njia panda imenikuta

ivi si ww uliyekuja koumba ushauri hapa kwamba una wachumba 3 hujui umuoe yupi? samahani lkn km nimekuchanganya na member mwingine
 
pamoja na kuwa mtt wa mkulima una Cv ipi nyingine? mwanachuo au? unaonekana ni goldiger na ushazoea kujibebea mijimama. huwezi kupenda binti na mama yake. iache hiyo familia kwa amani
 
hupishani na Pimbi wa gazetini,,,,,ipo siku baba atakuomba nyuma.
 
ivi si ww uliyekuja koumba ushauri hapa kwamba una wachumba 3 hujui umuoe yupi? samahani lkn km nimekuchanganya na member mwingine

watu8 nakutegemea ktk sector hii ya kutupa details
 
Last edited by a moderator:
Mahusiano yata vunjika na wanaweza nichukia na life ni kutegemeana!

Kwani yupi anaekuonga zaidi kati ya hao?

Miaka 27 lakini akili yako imejiset set kuishi kwa misaada,we ni zaidi ya yahaya
 
ivi si ww uliyekuja koumba ushauri hapa kwamba una wachumba 3 hujui umuoe yupi? samahani lkn km nimekuchanganya na member mwingine

Hata hujamchanganya ndiye huyu huyu...halafu alikuwa mkali kama moto wa kifuu kwa ile thread yake...

utoto...
 
hupishani na Pimbi wa gazetini,,,,,ipo siku baba atakuomba nyuma.
[h=2]if you have noticed this notice you will have noticed that this notice is not worth noticing other wise he ill both munging & humping u![/h]
 
hupishani na Pimbi wa gazetini,,,,,ipo siku baba atakuomba nyuma.
Umezoea kutoa unafikiri hata wanaume tunatoa si ndio? secta ya kujibu wa.jinga kama wewe sijambo. Kama unaweza jibu uone nimekualika kuchangia au kiherehere chako lione li Pug hili!
 
the truth will set you free!!

chagua kusuka ama kunyoa, na si vyote!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…