Njia nzuri ya kuacha uzinzi

Ungekuwa unalosema ni kweli ungeanza wewe kuacha kutumia jina fake humu Jf. Kuacha dhambi sio kitu kidogo she



Sent from Nokla using Jf app
sina hatia mkuu maana sijavunja sheria ya jf maana ninaruhusiwa kutumia username yeyote,hata hivyo mimi ni mtoto wa Kulwa ng`wana ong`wa kulwa ndivyo ninaitwa hivyo ,,,,,,,mkiifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru
 
sina hatia mkuu maana sijavunja sheria ya jf maana ninaruhusiwa kutumia username yeyote,hata hivyo mimi ni mtoto wa Kulwa ng`wana ong`wa kulwa ndivyo ninaitwa hivyo ,,,,,,,mkiifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru

Hahahaha haya bwana we jifiche tu kwa hilo jina lakini ungkuwa sacrosanct person ungeandika majina yako halali, sasa hata malaika wakipita huku Jf hawawezi kukufahamu mkuu (joke)




Sent from Nokla using Jf app
 
Icho ulichofanya wewe mkuu sio njia ya kuacha uzinzi... unaweza ukatumia kinga lakini kosa ni lile lile, UZINZI...
To me nadhani, unapaswa kujitambua kwanza, kujikeep busy na mambo ya kutafuta sana. Kujiweka mbali na vishawishi (you know what l am talking about, dont you?), Kumjua mungu, Kujiamini kwa yale maamuzi yako wewe... nk
Nisije ongea sana wakati dadiii yangu bado sijamsikiaaaa... Dadiiii Excellll... come this way plishhhhhh...
 
Cheating is a line you shouldn't cross.

It is addictive so once you do, there is no turning back.

Avoid it in the first place and you will stay safe.
 
safi sana. Njia iliyo sahihi ni hiyo kumpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, uzinzi na mabaya yoooooote itakuwa bye byeeee
 
Mkuu Mimi niliingia kaghafla nikapima wakati nasumbiria majibu presha in a panda si masiara jamani kusumbiri majibu.nilipimwa na Dada moja hivi .majibu yalipokuwa mazuri nilimwona yule.Dada km anatakaapigwe mzingo.alionyesha dalili ya wazi kutaka kunipa mzingo lkn ndo hivo tena
 
Kiukweli sijaioni. Mabinti wamezidi kujirembua afu wamegoma kukataa. tutafanyaje sasa.

wakigoma utasema wanaringa ....baki njia kuu huo utamu afaidi mmoja
 
Tukubali hii kitu imekaa pabaya kabisa!!! Ni adhabu ya Mungu hakika!!!!
 
safi sana. Njia iliyo sahihi ni hiyo kumpokea Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, uzinzi na mabaya yoooooote itakuwa bye byeeee

wenye mwili wote waseme aaameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
 
Kuachana nayo asilani? Unataka kumkosoa muumba? Utajazaje dunia?

Kuacha mwiko, labda useme uwe na mmoja unayemwamini, kasheshe kama yeye mwenyewe hajiamini.
Ila ukitaka haya mambo yasikusumbua, anguka mapenzini na mmoja, afu naye awe anakutendea haki, hakya mama wanamme wengine unakuwa unawaona kama 'Farida:eyebrows:'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…