Elections 2015 Njia nyeupe kwa CCM Jimbo la Monduli: Fred Lowassa ajitoa katika kinyang'anyiro cha Ubunge ndani ya CHADEMA

ule
Hapa swala ni moja tu, Lowasa kwa sasa ni mzigo mkubwa pale Chadema anatakiwa arudi alipotoka au astaafu. La sivyo chama kitazidi kudhoofu, he is cancer for them kuanza upya siyo ujinga.
Ule mkataba wake na mbowe sio wakuuvunja kienyeji kama unavyofikilia yaani uamke tu asubuhi moja useme namfukuza Lowasa? thubutu uone.
 
Au tetesi za EDO kuandaa watu kurudi CCM ni kweli?
KWA TAARIFA YAKO HAKUNA KITU KINAITWA CHADEMA MONDULI, WOTE NI CCM, NA PESA ALIYOPEWA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA COUNCIL ALIYEHAMIA CCM (MILIO 150) WAMEGAWANA VIONGOZI WA WANAOJIITA CDM MONDULI. CDM MAKAO MAKUU KUWENI MACHO NA LOWSA NA MONDULI YAKE
 
Alafu ma DED watakuwa hawapo 2020 au?
 
kwani ni lini chadema ilishawahi kusema kuwa huyo fredy lowassa ndio angepeperusha bendera ya CDM monduli?
 
Fact
 
Mimi nadhani familia yake bado ina mapenzi na Chama tawala, hivyo anajiona sio salama kugombea uongozi nje ya chama chake.
Nina uhakika angeipata nafasi ya kuteuliwa kuiwakilisha CCM angekubali.
Hapana hata mm ningekuwa mzee wake ningemkataza kwa sasa mkurugenzi gani yupo tayar kupoteza kazi yake atangaze mpinzani kashinda labda ajilipe posha,mshahara na mafuta ya gar vinginevyo magufuli atafanya kama alivyofanya buyungu
 
Una point
 
UPINZANI UNAPOTEZA VISION.WAWE WAANGALIFU.HOJA ZAO NA MISINGI(FRAMEWORK).IMEIBWA NA SASACCM INAFANYABRAIN DRAIN.....HAWAKUWA VISIONARY WALIVOMKARIBISHA EDO THEN WAKAJISAHAU.INTEREST YAO KUBWA ILIKUWA LOGISTICS!!!!!
 
UPINZANI UNAPOTEZA VISION.WAWE WAANGALIFU.HOJA ZAO NA MISINGI(FRAMEWORK).IMEIBWA NA SASACCM INAFANYABRAIN DRAIN.....HAWAKUWA VISIONARY WALIVOMKARIBISHA EDO THEN WAKAJISAHAU.INTEREST YAO KUBWA ILIKUWA LOGISTICS!!!!!
Huna lolote unalolijuwa wewe bendera fuata upepo,wekeni uwanja sawa wa kufanya siasa uone mtakacho vuna
 
Kwa mazingira ya sasa hata ashuke malaika kugombea ndani ya chadema hatoweza kushinda.
 
Au tetesi za EDO kuandaa watu kurudi CCM ni kweli?
Dogo kaona mzee karibu anaachana na siasa, kwanini ajichafue na kuzima ndoto yake kwa kujiingiza huko kwa watu wenye malengo binafsi. Ipo siku atachukua jimbo hilo kwa kupitia CCM, hiyo haina shaka.
 
Chadema wameacha kufanyia kikao kwenye banda la ufipa , wameenda kufanyia kwenye five star hotel ambayo wanalipa dollar 100 kwa saa.!!!

Kwa nn bavicha msihoji haya??

Wizi mkubwa wa ruzuku ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…