Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Nimefanyaje tena jamaan
Nimefanyaje tena jamaan
Katekwa na mumewe shululu
Nisamehe jaman ndio mana nilikwambia Jana nikajua haujapita
Hajakwambia ana mume kumbe na watoto wao mapacha wamezaa wamewatoa insta huko wanaitwa wakina jj huko
Mekumiss pia mpenzi,mambo yanakuwa mengi kiasi kwamba muda wa kupita maeneo unakosekana sometimes
Duuh hongera zaoHajakwambia ana mume kumbe na watoto wao mapacha wamezaa wamewatoa insta huko wanaitwa wakina jj huko
Cio kwa umbea huo mke mweeeHajakwambia ana mume kumbe na watoto wao mapacha wamezaa wamewatoa insta huko wanaitwa wakina jj huko
Mke mwee kipi nimeongea uongo jaman au leo unamkana shemela shululu na kina jjCio kwa umbea huo mke mweee
mwache mwenzio afunguke huko, wewe c ulinificha, je kama moyo wangu ungemdondokea shemela ungenilaumuCio kwa umbea huo mke mweee
Ongea wewe mama tena angelialia me si unanijua kazi yangu kucheka tumwache mwenzio afunguke huko, wewe c ulinificha, je kama moyo wangu ungemdondokea shemela ungenilaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaongopa mke mweee ila unavofunguka kama umeulizwa vileMke mwee kipi nimeongea uongo jaman au leo unamkana shemela shululu na kina jj
Uwiii nisamehe mae nna mume na watoto mapacha,karibu kwetu makapuku forum nikutambulishemwache mwenzio afunguke huko, wewe c ulinificha, je kama moyo wangu ungemdondokea shemela ungenilaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mke mweeeOngea wewe mama tena angelialia me si unanijua kazi yangu kucheka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongea wewe mama tena angelialia me si unanijua kazi yangu kucheka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa sijui kama ungeweza kucheka aseeWoyooo ngoja nimpitie shunie anisindikizeUwiii nisamehe mae nna mume na watoto mapacha,karibu kwetu makapuku forum nikutambulishe