Njia mpya ya kuwalinda wanawake

Njia mpya ya kuwalinda wanawake

Joined
Aug 7, 2016
Posts
42
Reaction score
25
Kutembea na wasichana wengi ni mbinu mpya ambayo inaweza kumlinda mwanamke wako unayempenda zaidi asivamiwe na maadui zako..

Ingawaje n ngumu kwa mwanamke kuelewa hii mbinu.. atabaki amekununua wakati unamsaidia

wisdom will kill me
 
Wanawake bahana ni wagumu sana kuelewa.. .. Kudate na wanawake wengi ni njia pekee ambayo kwa sasa inaweza kutumika kuwapoteza maadui na kuzuia kushambuliwa na maadui zangu. kwa ivo nawalinda ili wasisumbuliwe na kubaki salama salmin bila kuguswa .. Hasa kwa kipindi kigumu kama hiki cha anko
Lakini kwa bahati mbaya wanawake wengi hawawezi kuelewa hii njia mpya ya kuwalinda .

wisdom will kill me one day

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawalindaje aisee
 
Safi sana kwa uvumbuzi ingawa sikubaliani na problem solving yako!
 
Kumlinda / Kumchunga mtu mwenye akili timamu ni Ujinga

Btw haiwezekani, akiamua kukusaliti basi anakusaliti tu.
 
Back
Top Bottom