Njia mbadala

kama inafaa tuige au sio ??
 
Kilimo kwanza na Matokeo Makubwa Sasa by all means !!
 
mmmmh!hapa sasa sijui ugumu wa maisha au...
 
Tatizo mazao yetu huwa bei chini na gharama ni kubwa ndo maana tunabanana hapa hapa mujini na kama bei safi basi pasingekuwa na mbanano mujini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…