Jamani kuna njia imegundulika na hu2miwa na wa2 wengi hasa waliochaguliwa cozi ambazo hawazitaki.,na wanataka kubadili.,tofauti na njia ya kwanza ili uweze kubadili ni lazima ufike chuoni ufanye kwanza usajili ndio uandike barua ya kuomba kubadili course,NJIA MBADALA, ni kwenye joining instruction yako unatakiwa uandike course unayoitaka na jina lako hyo kwa kumaanisha ume2miwa kwa posta ,then ukifika siku ya kwanza chuo unaenda kujiregister kwenye course unayoitaka hyo ni kutokana na barua yako inavyosema ,watakusajili kwenye course unayoitaka..then baadae ndo ufatilie! IKITOKEA WAKAKUSHTUKIA waambie hyo ndiyo joining uliyoipata..! For more qns ask>>"updatedboy"