paparazzi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 572
- 145
paparazi,ninachoxema ni cha kweli,na weng wamefanya..bt very risk...admission letter kuchange z ver easy!
Usitufunge kamba za kiunoni kama ngedere;
Nani alifanya huo utoto akafanikiwa...??
Vipi wewe tatizo lako la kuhamia BVM ulishapata ufumbuzi...??
Wabongo bhana::unajua fika kuwa ukikanya kaa la moto ni lazima uungue,bado unajifanya umekomaa unataka ukalie kabisaa;
Shauri zako,unadhani wao hawakusoma...!!
Tena mbaya zaidi wengine social forums ndio vijiwe vyao,sijui utawahadaa wapi?