Njia mahususi ya kuvunja penzi.

Unajua anakupenda ila hata ujitahidi namna gani humpendi tu!

Ni njia gani mahususi ya kuvunja penzi?

Jua kua sio muelewa. anachotaka ndio wape. sio understanding.

Well know? Famous? wengine tulikua hatuijui!
Sasa atumie gani? :thinking:

Yea, Mwali, that is so famous na sitamshauri ataumie. That phrase has more than one meaning. Kwa mfano, kwa wanawake, “it is not you, it is me simply means “it is you”. Solution hapa ni kuwa honest. She doesn't feel the same way like he feels. Huo ndio ukweli na inabidi amweleze tena mapema. Inabidi awe honest, it will be painful to him but in the long term ata-appreciate vibaya na possibly anam-respect.

Nafikiri ni rahisi kwa mwanamke kumwambia mwanaume kuwa hampendi kuliko mwanaume kumwambia mwanamke hampendi. Kwa wanaume hatu-mind sana, though it may vary from one man to another. Lakini kwa mwanamke kuambiwa openely na mwanaume anayempenda kuwa hampendi kunaweza kumdhuru hata kimwili. Sasa Neiwa kama vile anadhani jamaa atajisikia vibaya sana kama vile yeye (Neiwa) angejisikia. It doesn't work that way. Kumbuka unlike wanawake, wanaume don't attach too much emotions kwenye mapenzi.

So, kama kweli humpendi mwambie straight bila kumumunya maneno hata kama atalia. You need to let him now the truth and tell him you only think of him as a friend and hopefully kama ni mwanaume mwelewa atakuelewa. Tena hiyo friendship iwe ni offer tuu. If he wants to be friends with you sawa, kama hataki sawa. Let him decide that.

Ukweli ni kwamba kama anakupenda you are going to hurt him no matter what. Huwezi kulikwepa hili kwa kutafuta maneno mazuri. Mwambie you care a great deal about him as a friend and you want what is best for him so he doesn’t miss out on a better opportunity with someone else. Kumbuka the more you try to use nice words to please him, the more complicated things can potentially get. Use your body language too to express your view but do not try to be too mean on him. Just be open and express what you feel.

Wakati ukimweleza hayo hakikisha mpo kwenye sehemu ya faragha, maana sometimes nyie wanawake mnapenda kuwa-embarrass wanaume wanaowapenda (lakini nyie hamuwapendi au mmeshawachuna vya kutosha) mbele ya marafiki zenu. Sio fresh. Pia ni bora umwambie uso kwa uso na sio kwenye text message, BBM, facebook message or JF PMs.

Kama akiendelea kung’ang’ania just tell him open that you don't feel for him the way you think he wants you to. If he doesn’t get it then just say plain and simply to him that you are not inclined to love him. And then say Sorry. Nina uhakika hapo atakuacha. Kila mtu anajua kuwa huwezi kumlazimisha mtu akupende.

PS. Usitumie zile kauli kwenye ile thread ya kauli za kejeli za wanawake. Hapo utakuwa unatafuta vita ya Gaddafi na anaweza kukuombea majeshi ya NATO. Ila kama wewe unanipenda mimi, uni-PM haraka sana. I promise you sitakutosa kama unavyotaka kumtosa huyo jamaa. lol.
 
kuwa mkweli tu,mwambie ukweli mweke wazi japo ataumia lakini atakuwa anajua nafasi yake kwako
kuliko kujipa matumaini kumbe wewe huna hata wazo.
 
SOMA KWA MAKINI ♥
Kulikuwa na msichana kipofu aliyejichukia mwenyewe kwa ajili ya upofu.

Alimchukia kila mtuisipokuwa boyfriend wake.

... Siku moja akamwambia boyfriend wake kama ningefanikiwa kuona dunia tu kwa macho basi ungenioa.

Siku moja akapewa macho na mtu asiyemfahamu, akafanikiwa kuona kila kitu, akafanikiw a kumwona boyfriend wake.

Boyfriend wake akamwuliza ''umefurahi?
umeridhika?
sasa naweza nikakuoa?......
Msichana akashtuka sana kumwona boyfriend wake ni kipofu na akakataa kuolewa.

Boyfriend akaondoka huku akiliamachozi....akam wambia girlfriend '''nakutakia maisha mema,naomba uyatuze macho yangu''

JE KUNA UMUHIMU WA KUMPENDA MPENZI WAKO KWA DHATI NA KUJITOLEA KWA AJILI YAKE?
 
Unajua anakupenda ila hata ujitahidi namna gani humpendi tu!

Ni njia gani mahususi ya kuvunja penzi?

Jua kua sio muelewa. anachotaka ndio wape. sio understanding.

Mpe tiGo atakuacha yeye mwenyewe
 
Nahisi kuna mtu anaandaliwa kibuti....

Siwezi kumshauri mtu amuumize mwenzie.....

Maumivu ya mapenzi nayajua, sitaki yamkumbe binadamu mwenzangu......:thinking:
 
Unajua anakupenda ila hata ujitahidi namna gani humpendi tu!

Ni njia gani mahususi ya kuvunja penzi?

Jua kua sio muelewa. anachotaka ndio wape. sio understanding.

mbona hueleweki, kuna penzi hapo la kuvunja?
 
usiku vaa traki suti yako, lala mzungu wa nne
akikugusa sema naumwa, mwezi mmoja tu biashara imekata.
 
Afu Neiwa mpenzi...

Ule mkakati wako na babu mdogo Teamo uliishia wapi?
 
Ni kweli humpendi au kuna material things anashindwa kukutimizia. Be careful wth any decision you are going to make so that "no one to regret upon" at later dates. Kumbuka wanaume/wanawake walaghai ni wengi kuliko wenye upendo na mapenzi ya kweli.
 
haumfeel kwa maana umempata mwingine au?/
well nenda straight tu kuwa haumfell kuliko unavyobuy time nw! truth hurts but will make the two of you free! soo goo gal
hapo unavyochelewa unafanya situation kuzidi kuwa worse!
 
Hiyo mbona rahisi sana,mtengenezee mazingira tu akufumanie ukiwa na jibaba la nguvu lililomzidi kila kitu,utaona kama atarudi kwako.
 
mwambie, sio kwamba yeye ni mbaya. ila moyo wako unampenda sana mtu mwingine na yeye atafute ustaarabu wake, ni bora mapema kuliko kuchelewa mwenzio anajipa ma hope kwamba yuko na wewe milele
 
kama anajifanya haelewi dawa ni kimwitikia kila kitu lakini hufanyi hata kimoja unamuignore mwishowe atajua tu kumbe humpendi...
 
Back
Top Bottom