Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,956
- 134,035
Wabongo mbona tunakuwa mashujaa wa kupindua mambo.
Hii kauli mbiu imekuwa moto kwa wapenda michupuko.
Baada ya zomea zomea kuzidi wamekuja na kauli mbiu pinzani kwamba Njia kuu yako,mchepuko wangu.
Mwana Jf makini pinga kauli mbiu hii.
Hii kauli mbiu imekuwa moto kwa wapenda michupuko.
Baada ya zomea zomea kuzidi wamekuja na kauli mbiu pinzani kwamba Njia kuu yako,mchepuko wangu.
Mwana Jf makini pinga kauli mbiu hii.