olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,574
Hello guys, naomba msaada kidogo...
huwa natumia sana youttube kwa ajili ya kujisomea (kuongea maarifa) sasa swali langu ni kuwa
kama kuna video ina dakika 50 na ina mb 145..
nikiangalia moja kwa moja youtube na niki-download ipi inaweza kusave bundle..