Wakuu kuna mtu yuko india nataka nimtumie hela Sasa kuna complicate kidogo coz nimetaka kutumia akaunti yangu ya akiba bank wameniambia hawana hyo huduma Pia nimetka kutumia card yangu ya visa ya benki ya abc wameniambia siwezi kutuma mpk niwe na akaunti halisi ya abc Sasa naomba kujua nu njia gani itanifaa