Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

Jinsi majirani walivyo na umuhimu usingethubuti kumfanya akuogope.

Kama hamuonani mara kwa mara means ni ngumu ninyi kua marafiki, kama sio marafiki ni majirani tu mbona easy sana kuishi ivo.
Isue jamaa anataka kuwa na mamlaka na kwangu kisa nimemkuta. Nilishalalamika sana kwa mwenyekiti vituko anavyofanya. Mwenyekiti kamwelimisha jamaa hataki kuelewa. Kasema tumalizane wenyewe jamaa kajizima data.
 
Mkuu umeongea vema sana. Huku kuna vishorobo vinajidai vina busara sana kumbe ni wabaya sana. Huyu mshikaji kuna siku vijana walikuja kuniomba wafanyie scene ya movie yao kwangu. Wakaniomba nikawaambia waje tu atakuwepo wife me narudi jioni. Jamaa alivyowaona siku ya kwanza kesho wakaja tena. Aliwafukuza akisema ni wezi na kwenda polisi kudai aliibiwa anahisi hao jamaa ndo walioiba. Nilijisikia vibaya nikakausha sasa huo ujirani gani natakiwa niwe mpole?
Hakikisha humuonei huyo jirani Yako,vile vile usikubali akuonee kisa ujirani.
 
Naenda kwa mada moja kwa moja.

Hivi Juzi kati nilihamia kwenye nyumba moja mkoa X. Jirani alinipokea vizuri sana ila kutokana na nature ya kazi wote kurudi night tulishindwa kuwa marafiki.

Jirani mara nyingi navyokuwa sipo anawaamuru vijana wangu wafanye vitu ambavyo sijawaagiza mfano fundi kaja kutengeneza labda kitu, nikitoka anaenda kumwambia fanya hivi. Siku alikosea kaja nipo mwenyewe home. Nikamuwakia sana nusu kumchapa ngumi maana nilikuwa kwangu yeye kaja.

Baada ya ugomvi kuisha nilimuita mwenyekiti wa mtaa nikamweleza akamwambia mshikaji asiingie kwenye boma langu.

Baada ya hapo jamaa na mke wake wamekuwa wananiogopa sana. Anaweza badili hata njia akiniona.

Sasa nataka aniogope mara thelathini ya hapa, naombeni maujanja jinsi ya kumtisha huyu mtu.
Acha mazoea naye kula bati,Uso wa mbuzi muda wote
 
Jambo dogo sana lililokutokea, ni kawaida sana kuwa na majirani wa namna hiyo.

Ni kiasi cha kuwaelewesha mafundi wako tabia za jirani yako hivyo wazingatie maelekezo yako.

Kufikia kuogopana kufikia hatua ya kubadilisha njia, kufikishana kwa Mwenyekiti , kufokeana na kutishia kupiga ngumi hapo kuna zaidi ya hayo maelezo uliyotuandikia.

Jirani ni ndugu yako wa karibu.
 
Siwezi kujifanya mwema kisa jirani wakati nakwazika.
Wadau wengi wameku shauri ku Tumia DIPLOMACY ku handle hio issue....
Mfano Mimi mtaani na mke wangu tunasalimia majirani watoto Kwa watu wazima ila hatuzoeleki na tumewapa mipaka Yao ila tunashirikiana nao kwenye shida na raha..

""""We are differ indifferent""" mzee wangu alikua anapenda sanaa kusikiliza nyimbo za msondo Ngoma.......

Kuna wimbo mmoja sehemu ya mashair inasema

""UNAPO PATWA NA MATATIZOO USIKU WA MANANE JIRANI YAKO NDIO WA KWANZA KUKUSAIDIA"""

Pia Hata vitabu vya dini vinatuasa vinasema LOVE YOU NEIGHBORS

NB
"""Chuki humuumiza anaye hiifadhi""
 
Mkuu umeongea vema sana. Huku kuna vishorobo vinajidai vina busara sana kumbe ni wabaya sana. Huyu mshikaji kuna siku vijana walikuja kuniomba wafanyie scene ya movie yao kwangu. Wakaniomba nikawaambia waje tu atakuwepo wife me narudi jioni. Jamaa alivyowaona siku ya kwanza kesho wakaja tena. Aliwafukuza akisema ni wezi na kwenda polisi kudai aliibiwa anahisi hao jamaa ndo walioiba. Nilijisikia vibaya nikakausha sasa huo ujirani gani natakiwa niwe mpole?
Huyo hakuna njia ya kumuadabisha zaidi ya hiyo kikubwa asijue kazi yako na asikujue zaidi .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Wadau wengi wameku shauri ku Tumia DIPLOMACY ku handle hio issue....
Mfano Mimi mtaani na mke wangu tunasalimia majirani watoto Kwa watu wazima ila hatuzoeleki na tumewapa mipaka Yao ila tunashirikiana nao kwenye shida na raha..

""""We are differ indifferent""" mzee wangu alikua anapenda sanaa kusikiliza nyimbo za msondo Ngoma.......

Kuna wimbo mmoja sehemu ya mashair inasema

""UNAPO PATWA NA MATATIZOO USIKU WA MANANE JIRANI YAKO NDIO WA KWANZA KUKUSAIDIA"""

Pia Hata vitabu vya dini vinatuasa vinasema LOVE YOU NEIGHBORS

NB
"""Chuki humuumiza anaye hiifadhi""
Mkuu ilikuwa zamani. Sasa hivi jirani yako ndo adui yako ingawa sio wote. Mtakuwa majirani wazuri kama life status mnafanana ila mkipishana jamaa hata nikinywa maji ya dukani anaumia jiran gan huyo?
 
Laiti ungejua umuhimu wa jirani ungekuwa mpole tu. Ungetumia busara kumuonesha hupendi akuingilie mambo yako ila ungehakikisha ujirani unakuwepo.
Wewe Ni .ntu muhimu sna unajuwa kuishi na watu

Mm Kuna jamaa mke wake atauslaimiani ila mume wake ndio akishia ankuja kukopa pesa kwangu akmlishe mkeo ambae hatusalimiani
Huwa najiuuliza haoni aibu
 
Jirani ni ndugu wa karibu
Usijaribu kugombana na jirani maana mtafaana wakati wa raha na shida
Sasa ukigombana na jirani ukapata janga na ndugu hawapo karibu nani wa kukusaidia
Ndio maana nimesema jirani ni ndugu wa karibu

Sijawahi kukosana na jirani hata siku moja
 
Ni kweli jirani ni ndugu ila sio wote.

Binadamu pia kaumbiwa kupambana pale inapobidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom