Njia fupi kutoka Mwanza kuelekea Alijazeera ukerewe

Status
Not open for further replies.
Feb 9, 2012
58
10
[h=2] Njia fupi kutoka Mwanza kuelekea Aljazeera Ukerewe-3 [/h] Jumatano, Februari 27, 2013 06:38 Na Ratifa Baranyikwa

WIKI iliyopita MTANZANIA JUMATANO ilieleza habari za uchunguzi katika sehemu ya pili ya mfululizo wa makala haya, kuhusu kile kinachodaiwa kufanywa katika Chuo cha Markaz, Aljazeera kisiwani Ukerewe, mkoani Mwanza.

Kwenye makala zilizopita katika uchunguzi huo tulibaini juu ya wageni wanaodaiwa kutoka nchi jirani za Somalia, Kenya, Uganda na nyinginezo ambao baadhi yao wamekuwa wakitiliwa shaka, kutokana na njia za panya wanazozitumia hadi kufika chuoni hapo.

Mbali na hilo tulieleza jinsi gazeti hili lilipofanikiwa kumpata mmoja wa wafanyakazi wa chuo hicho aliyeeleza alichodai kuwahi kukiona wakati wakishusha mizigo iliyofika chuoni hapo.

Pamoja na hilo, katika mfululizo wa makala hayo ya uchunguzi, gazeti hili lilizungumza na Mbunge wa Ukerewe (Chadema), Salvatory Machemli, ambaye alikiri kuwahi kusikia juu kile kinachozungumzwa kuhusu mafunzo ya Al-Qaeda, Al-shabab yanayotolewa chuoni hapo na kuahidi kulipeleka suala hilo kama hoja binafsi katika kikao cha Baraza la Madiwani.

Gazeti hili katika makala yake hiyo ya pili, lilimkariri Mbunge huyo akisema kuwa: “Hatuoni kazi ya kijamii ambayo chuo hicho kinajihusisha nacho, elimu dunia hatuoni.

“Niliwahi kumuuliza, Sheikh Ramadhani Mazige ambaye alisimamia ujenzi wa chuo hicho, kuhusu kukibadili ili kiwe kinatoa elimu ya sekondari au chuo, lakini alisema wenyewe wanaomiliki chuo hicho hawataki.”

Gazeti hili lilimkariri Mbunge huyo akisema wamiliki wa chuo hicho, Sheikh Mazige hawataji rasmi, na kwamba chuo hicho kimeficha mambo yake.

Katika sehemu hii ya tatu ya makala haya, nitaelezea jinsi ambavyo gazeti hili lilifanikiwa kufanya mahojiano na watu wengine mbalimbali, juu ya kile tulichobaini kuhusiana na hofu hiyo akiwemo, Sheikh Mazige mwenyewe ambaye ni Diwani wa Kata ya Nansio (CCM, alichosema na kauli mbalimbali alizokaririwa.

Pia tutakwenda mbali na kutizama mtikisiko uliotokea baada ya gazeti hili kuripoti juu ya taarifa mbalimbali kuhusiana na chuo hicho, hali kadhalika maneno yaliyozungumzwa na watu mbalimbali.

Inaendelea ilipoishia Jumatano iliyopita…

Kauli za viongozi mbalimbali

Baada ya Gazeti hili kuzungumza na Mbunge wa Ukerewe, Machemli wiki iliyopita, tuliamua kumtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ernest Mangu, ambaye aliliambia gazeti hili kuwa anaomba apewe muda kwa sababu yeye ni mgeni mkoani humo na huu ni mwezi wa pili akiwa katika kituo chake kipya cha kazi, hivyo yapo mengi ambayo hayafahamu.

Hata hivyo, Mangu aliliahidi gazeti hili kufuatilia juu ya suala hilo na kulitolea ufafanuzi baadaye.

Maelezo hayo ya Mangu na Machemli, yalililazimisha gazeti hili kumtafuta Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Martha Tesha, ambaye alikana kufahamu chochote badala yake akahoji sababu za mwandishi kumtafuta wakati tayari suala hilo lilisharipotiwa katika gazeti hili.

Hata hivyo, mwandishi wa gazeti hili, alimwambia Mkuu huyo wa Wilaya kwamba, alifika mara kadhaa ofisini kwake na kupatiwa majibu kuwa yupo nje ya ofisi na Wilaya hivyo kushindwa kupata ushirikiano hadi pale ilipopatikana simu yake ya kiganjani.

Kauli ya Sheikh Mazige

Timu ya gazeti hili pia ilifanikiwa kuzungumza na Sheikh Mazige, kupata kauli yake kama mtu ambaye alihusika kusimamia ujenzi wa chuo hicho pamoja na lawama kadhaa zinazoelekezwa kwake.

Sheikh Mazige anapinga kuhusu mafunzo ya Al-Qaeda kutolewa chuoni hapo, lakini pia anapinga kile Machemli alichozungumza na gazeti hili.

Anasema mafunzo yanayotolewa chuoni hapo ni ya kidini na si ya kigaidi.

Sheikh Mazige anafafanua kuhusu chuo hicho anasema; kipo sehemu ya wazi na hakijajificha na kwamba hata watu wa usalama wamekuwa wakikitembelea.

Alipoulizwa mbali na mafundisho ya dini aina nyingine ya mafunzo yanayotolewa ni yapi, Sheikh Mazige anasema: “Tumekuwa tukitoa mafunzo ya kidini kwa miaka saba na tumekuwa tukichukua watoto waliofeli darasa la saba, hivyo katika chuo hicho hakuna mtoto wa miaka kumi bali ni kumi na mbili na kuendelea na hivi karibuni tumeongeza somo la Kompyuta na Kiingereza.”

Kuhusu mafunzo hayo kutolewa na wageni ambao si raia wa Tanzania na wamekuwa wakilipwa kwa dola na baadhi yao wamekuwa wakitiliwa shaka, Sheikh Mazige anafafanua hilo katika eneo moja akisema; “Katika masomo hayo waliyoongeza hivi karibuni somo la Kiingereza linafundishwa na Mwalimu kutoka Misri, wakati la kompyuta linafundishwa na mwalimu wa hapa hapa.”

Alipoulizwa ni kwa jinsi gani mafunzo hayo ya miaka saba yanamsaidia mtoto au kijana kimaisha pindi anapomaliza, Sheikh Mazige anasema hilo kwa upande wao siyo kazi yake kujua.

Kuhusu michezo ya Karate, Sheikh Mazige alionekana kulikwepa huku akisisitiza kuwa chuo kipo wazi, hata watu wa usalama wanakwenda hapo.

Mtikisiko uliotokea baada ya gazeti hili kuandika juu ya habari hizo

Siku chache baada ya gazeti hili kuandika juu ya habari hizo, vyombo vya habari vilionekana kufuatilia kwa ukaribu juu ya taarifa hizi, huku pia vikipewa fursa ya kukitembelea.

Kadhalika hatua mbalimbali za kukifuatilia na kukichunguza chuo hicho zimefanyika.

Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Tesha naye amekaririwa akisema ofisi yake imeshachukua hatua kwa kuwahoji viongozi wa chuo hicho pamoja na wanafunzi wake.

Tesha anasema ofisi yake pia imechukua mtaala wa chuo hicho pamoja na kuwahoji wanafunzi wanaosoma hapo na baadhi ya viongozi na kwamba kwa bahati mbaya hawajaweza kumhoji Mkuu wa Chuo kwa kuwa hayupo, lakini atakapompata atawapatia taarifa zaidi.

Gazeti hili pia lilipata taarifa toka wilayani Ukerewe ambazo zilikuja kusahihishwa baadaye kuwa, Kamati ya Ulinzi na Usalama ilimuita na kumuhoji Sheikh Mazige.

Mbali na hayo, baadhi ya makundi yalionekana kukerwa na taarifa hizi, akiwemo Sheikh Mazige ambaye aliitisha mkutano na vyombo vya habari na kutoa maneno ya vitisho na ya kupinga kilichoripotiwa.

Pamoja hilo, Mtu mmoja (jina tunalihifadhi) alikaririwa na vyanzo vyetu toka Wilayani Ukerewe akisema kuwa anamsaka mtu ambaye amevujisha taarifa za chuo hicho kuhisiwa kutoa mafunzo ya kigaidi na kulifikia gazeti hili huku akiahidi kupambana naye.

Mwitikio wa upande mwingine uliliongezea taarifa zaidi gazeti hili, kwamba mafunzo yenye mwelekeo wa kujihami na kushambulia yapo na yanatolewa katika baadhi ya maeneo ambayo gazeti hili inayo orodha yake ambayo itayafanyia kazi.

Uchunguzi ulioendelea kufanywa na gazeti hili kwa takribani siku nne zote, umeonyesha zipo jitihada za makusudi zinazofanywa na vyombo vya Serikali za kulifuatilia jambo hili kwa ukaribu.

Mbunge aingiwa hofu

Wakati hayo yakitokea, Mbunge wa Ukerewe, Machemli alijikuta akibadili kauli yake baada ya kile kinachodaiwa kutishiwa kuuawa na watu ambao hawakufahamika kumpigia simu mara tu baada ya kuzungumza na gazeti hili.

Machemli alifikia hatua ya kukana kile alichozungumza na Mtanzania Jumatano, pasipo kujua kwamba rekodi zake zilibaki katika chumba cha habari cha gazeti hili.

Kwa Takribani wiki tatu mfululizo gazeti hili limekuwa likiandika habari ya uchunguzi. Katika habari hiyo lilieleza kile lilichokibaini, lakini kikubwa kikiwa ni hofu ya kutolewa kwa mafunzo ya kigaidi toka katika Chuo cha Markaz, Aljeezera.

Katika makala hizo, baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa Wilaya ya Ukerewe walizungumza na gazeti na kukiri kuwahi kusikia juu ya taarifa hizo. Kutokana na unyeti wa nafasi zao baadhi waliomba tusiwataje, lakini wengine tuliwataja.

Pia tulizungumza na watu mbalimbali, wakiwamo wale ambao waliwahi kuwa vibarua katika chuo hicho na kuthibitisha kile kilichoripotiwa na Mtanzania Jumatano.

Mwisho wa makala hizi ni mwanzo wa habari nyingine mpya.
 
Am I missing a thing
 
Mmmmh! Al-Quaida, Boko Haraam in the land of Tanzania. Kwa geografia ya Chuo hicho kuwepo kisiwani Ukerewe ni Mkakati wao wa kigaidi. Mim naanza kuingiwa na hofu kwa nchi yetu kushindwa kudhibiti mpasuko huu wa udini nchini. JK atakumbukwa vizazi vingi zaidi ya Sr Isack Newton na wenzake...
 
Njia fupi kutoka Mwanza kuelekea Aljazeera Ukerewe-3

Jumatano, Februari 27, 2013 06:38 Na Ratifa Baranyikwa

Mkuu hatulali ati. Taarifa imeshapelekwa ubalozi wa Marekani Dar na makao makuu ya CIA kwa njia ya email.
 
Kwa miaka saba wanafundisha masomo ya dini?, sasa wanafundisha kompyuta? pia Kingereza?

Wageni wanakuja wengi kwa ajili ya kufundisha dini? mhh!!
 
Maskini nchi yangu Tanzania... Tumekosa serikali.. Tumekosa
uongozi.. Tumekosa raisi..tangu 2005 nchi yetu haina Raisi.. Tuko yatima.. Nafika mahali pamoja na kuichukia ccm toka moyoni, natamani tungekuwa na Rais mkapa kuliko.. Alivyotuacha na huyu kituko.. Nchi yetu imejaa rushwa, watu wenye itikadi kali wasio raia wamejaa kila kona ya nchi yetu! Serikali hii dhaifu inaachia tuu..! Baadhi ya waislamu wamekuwa wakifanya mambo mabaya sana ya kuukashifu ukristo bila kuchukuliwa hatua..
Baadhi ya wakristo nao hujifanya wanajua dini zingine zisizowahusu.. Matokeo yake ni kugombana..
Vyombo vya habari vya kiislamu vinaeneza chuki lakini serikali iko kimya.. Yani ni udhaifu wa huyu presdent
 
Hapa kuna jambo la kutia mashaka na serikali hii dhaifu inabidi iamke.

Mtu anakusanya watoto WALIOFELI darasa la saba na kusema anawapa masomo kwa miaka 7. Computer na Dini for 7 years halafu akihitimu anakuwa nani, hatujui!

Kwa akili ya kawaida, ni watu wajinga ndio rahisi kushawishika kujiunga na ugaidi na ndio maana wamechagua watoto waliofeli. Ni rahisi kuwajaza SONONI na kuwafundisha kuwa matatizo yao yanaletwa na fulani.

Mimi sioni sababu ya serikali kujifanyisha haina hofu wakati kwote duniani ugaidi ulianza kwa style hii
 
hata wangefanyia mafunzo yao chini ya bahari bado tu tutawaona. hawa kiboko yao ni marekani... ngoja obama asikie muone. ------ yenu...
 
Alafu ni watoto wa kiislamu tu! Huyo mwalimu anaetoka nche kuja kufundisha watoto waliofeli!!
Ccm na dhaifu mpo!
Hapa kuna jambo la kutia mashaka na serikali hii dhaifu inabidi iamke.

Mtu anakusanya watoto WALIOFELI darasa la saba na kusema anawapa masomo kwa miaka 7. Computer na Dini for 7 years halafu akihitimu anakuwa nani, hatujui!

Kwa akili ya kawaida, ni watu wajinga ndio rahisi kushawishika kujiunga na ugaidi na ndio maana wamechagua watoto waliofeli. Ni rahisi kuwajaza SONONI na kuwafundisha kuwa matatizo yao yanaletwa na fulani.

Mimi sioni sababu ya serikali kujifanyisha haina hofu wakati kwote duniani ugaidi ulianza kwa style hii
 
Hapa kuna jambo la kutia mashaka na serikali hii dhaifu inabidi iamke.

Mtu anakusanya watoto WALIOFELI darasa la saba na kusema anawapa masomo kwa miaka 7. Computer na Dini for 7 years halafu akihitimu anakuwa nani, hatujui!

Kwa akili ya kawaida, ni watu wajinga ndio rahisi kushawishika kujiunga na ugaidi na ndio maana wamechagua watoto waliofeli. Ni rahisi kuwajaza SONONI na kuwafundisha kuwa matatizo yao yanaletwa na fulani.

Mimi sioni sababu ya serikali kujifanyisha haina hofu wakati kwote duniani ugaidi ulianza kwa style hii
Kuna watu wanapenda kushabikia na kuandika wasichokijua!
Mie nawaomba kuwauliza watu wanaojua UGAIDI watusaidie! UGAIDI NI NINI? na MAFUNZO YA UGAIDI YAKOJE?

Kuna mafundisho ya dini ya kiislam ambayo yataweza kumfanya kijana aijue dini yake vizuri bahada ya kumaliza mafunzo katika ngazi ya primary au sekondari ambayo aliyakosa kuyafahamu kipindi anasoma elimu dunia.

Sio vizuri kuwatusi watu eti wajinga ndio waoenda kusoma kule
 
Huyu jamaa gaidi achunguzwe tu hata kama ni diwani wa CCM.
 
wanafundisha karate, hivi michezo mingine kwa nini hamfundishi kwenye vyuo vya madrasa.. Kwani michezo mingine haifai? Kila shule ya kiislamu wanafundishwa karate!! vyenu
Kuna watu wanapenda kushabikia na kuandika wasichokijua!
Mie nawaomba kuwauliza watu wanaojua UGAIDI watusaidie! UGAIDI NI NINI? na MAFUNZO YA UGAIDI YAKOJE?

Kuna mafundisho ya dini ya kiislam ambayo yataweza kumfanya kijana aijue dini yake vizuri bahada ya kumaliza mafunzo katika ngazi ya primary au sekondari ambayo aliyakosa kuyafahamu kipindi anasoma elimu dunia.

Sio vizuri kuwatusi watu eti wajinga ndio waoenda kusoma kule
 
Hujui ccm wako bega kwa bega na wanaotaka kuharibu nchi!
Tatizo si la CCM, ni la viongozi wanaohisi ukiwachukulia hatua waislamu unaichukiza serikali ya CCM. Na hao viongozi ndo hatari kuzidi hada uamsho/alshabab wenyewe. Mfano, huyu mbunge wa CHADEMA, Eti anafuta kauri ya kupeleka hoja binafsi kwenye baraza la madiwani. Mbona Sheikh Ponda yuko ndani na waliomkamata hawajafukuzwa kazi. Mi nafikiri muda wa kuwalea viongozi wanafiki kama hawa sasa ufike mwisho.
 
Hujui ccm wako bega kwa bega na wanaotaka kuharibu nchi!

[SUP]Nchi yetu Tz imekwisha. Ninaamini kwamba serikali ya Kikwete ikiongozwa na yeye mwenyewe ina makusudi kamili ya kuisilimisha Tanzania iwe nchi ya kiislam. Nidyo maana Kikwete kama mmoja wao hana ubavu wa kuwakemea waislam wanapopanga na kutekeleza mikakati yao iliyolenga kuumiza Wakristo na kukomesha Ukristo Tanzania. Kwa ufupi, fungua YouTube search wauweni uone shehe anavyohamasisha mauji ya viongozi wa dinin za Kikristo. Seriakli iko kimya. Haini kama huo ni uhalifu.[/SUP]
 
Wabadilishe sheria ya TISS wapewe meno kidogo,wakamate sasa sio kushauri na kuwa wambea wambea tu kazi yao kusemelea bila kuchukua hatua!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom