Njia bora ya kumuacha mwanamke

ivi wewe mwanaume suruali uso kuwa na haya na kumuumiza Dada WA watu mlokole Hana haki ya kupenda mbwa wewe mwambie unakibamia sass nyoooooo
 
mtafune halafu mkimbie hama mji na badilisha mawasiliano ...ila katafune kwanza nasisitiza kagegede maana baadae katakuzarau
 
Just simple kabisa,,muite sehemu ya faragha hata iliyotulia"baby samahani naomba lakini usinielewe vibaya,safari tuliyotaka kuianzisha naomba iishie hapa,na ukipata mtu mwenye nia ya kujenga maisha muyajenga mie nimebadilisha maamuzi,kifupi inabidi tuachane tu na hili ni kwa nia njema tu" kisha muage na ondoka kama Ruthu.
mwanzoni hata kuelewa ila with time she will catch up a her own lines.
 
Nashukur sana mkuu kwa huu ushauri na hii naona kuwa ndo njia bora zaidi ya kutumia
 
Be super cold tell her let's go back to where we never meet for your own good
 
Cc: Joseverest naic umesubscribe forum zote JF..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahaha sio yote mkuu...kwa mfano Siasani kule nakatizaga mara chache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…