Njia bora ya kumuacha mwanamke

Hakuna kuachana kusiko na maumivu,mwambie ukweli ataumia lakini atapona haraka.
 
Kwa nini ulimtongoza sasa kama hukuwa na hisia nae? We unajua mwanamke akipenda Kapenda kweli..

JIFUNZE KUHESHIMU HISIA ZA WANAWAKE MKUU..USICHEZE NA HISIA ZAKE..WATU KAMA NYIE NDIO MNATUFANYA WANAUME WENGINE TUONEKANE WABAYA

Sahihi,..
 
Mwanzo nilikuw na hisia nae ila ghafla tu imetokea hali ya kutokujiskia kuwa nae kabsa
Unaweza kidogo ukatoa sababu ya kutokumpenda ghafra??tupate faida wadada.
 
Ukimuacha bila kumgonga atajisikia vibaya, bora gonga kama mara tatu hivi, ndio upange kumpotezea.
 
Kwa nini ulimtongoza sasa kama hukuwa na hisia nae? We unajua mwanamke akipenda Kapenda kweli..

JIFUNZE KUHESHIMU HISIA ZA WANAWAKE MKUU..USICHEZE NA HISIA ZAKE..WATU KAMA NYIE NDIO MNATUFANYA WANAUME WENGINE TUONEKANE WABAYA
Aisee hapo kwenye maherufi makubwa umezungumza; alafu umeandika kwa hasira shekhe
 
Kwa nini ulimtongoza sasa kama hukuwa na hisia nae? We unajua mwanamke akipenda Kapenda kweli..

JIFUNZE KUHESHIMU HISIA ZA WANAWAKE MKUU..USICHEZE NA HISIA ZAKE..WATU KAMA NYIE NDIO MNATUFANYA WANAUME WENGINE TUONEKANE WABAYA
wew Upo single nani atakuona mbaya tena?
 
Mwache tu utakuja kumkumbuka wakati kumekucha, huyo kakuonesha upendo wa dhati unajifanya humpend, mwache aende utakutan na Bomu lako unalipenda wew halikupend halaf utarudi hapa, kuomba ushaur,nimeamin mwenye Bahat habahatiki,
 
Muombe 3sum unite...lazima atakuona muhuni...ifanye weekend hii nitakuwa nimejiandaa balaa...
 
Ok hapa nakupa njia za kifala za kuachana na mtu, hamuwezi kuachana kama mnaendana hivyo inabidi utafute ishu itakayoonyesha hamuendani.

Muombe tigo.
Akikataa mteme mwambia hakusikilizi hauwezi kua naye.

Akikubali, mteme mwambie huwezi kua na mhuni. Na ulihisi tu kua yeye ni mhuni.

It always works niamini mimi.
Am joking don't go with this shit it's crazy unless you are crazy.
 
Cc: Joseverest naic umesubscribe forum zote JF..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kumsakama mwenzio na wewe ufanye ukitaka..@Josevest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…