Njia bora ya ku boost kupata nguvu........

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413

Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Hii kali, kama hauko vizuri unahasiwa hivi hivi unajiona
 
Hii kali, kama hauko vizuri unahasiwa hivi hivi unajiona

Hapana mkuu...

Hii kitu inasaidia sana kumnyanyua jogoo kama amelala..
mimi nimewahi kujaribu
 
jf bana ni raha tuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Hii njia ni nzuri sana tena hasa hasa pakiwa ni maji maji ndo mambo yanachanganya vizuri.Hata ukiwa na brain concussion sijui lazima upone
 
Hapo hata akikwambia ana ngoma kitu lazima kisimame kama sio kimessi au kironaldo
 
Yaaaani BofloOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOoooooooooooooo una v-ituko, hivi umewaza nini au unampango wa kuwaliplace WAmasai kwa kutumia new tech?
 
Kama yako haina nguvu huwezi ku-Boost kwa Umeme,jaribu kutumia Vidonge aina "Flagly" na bia moja basi mambo yanakaa sawa.(Tahadhari,usijaribu kama hujatimiza miaka 90 Tisini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…